Nikipata gari nitaringa

Nikipata gari nitaringa

Ezequiel

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
45
Reaction score
14
Binadamu hawanaga wema bora niringe kivyangu na mungu wang.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Binadamu hawanaga wema bora niringe kivyangu na mungu wang.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Binadamu hua hatosheki,anaweza kuwaza "Nikimaliza shule nitafurahi sana" na akimaliza shule huona ni kawaida tu, unaweza kuwaza "Nikipata kazi,nikinunua gari,nikijenga Nyumba,nikioa Mke,nikipata mtoto,nitafurahi sana" lakini ukishapata vyote hivyo bado utajiona kuna vingine bado unavihitajia na hutafurahi kivile,Maisha ni safari na sio destination.
 
Inabidi warudishwe shule kinguvu maana tz ya viwanda haiwez kuwa ya mihemko hii
 
Back
Top Bottom