Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,840
Reaction score
25,367
Hivi kwa wanaofahamu let's say umeolewa na mzungu na ukapewa uraia wa Ufaransa na unaishi kule; so huku ndio inakuwaje na uraia wa Tanzania unaruhusiwa kuwa nazo mbili kwa wakati mmoja au inabidi uikane mmoja ubaki na mwingine?

Tujuzeni wadau wa humu
 
Uraia[emoji849]wa tanzania na ufaransa!!!yaan sijaelewa kabisaaaaaa!
 
Asanteni kwa ushauri nimerelewa na kujua kiundani
 
Tunashukuru kwa taarifa yako kuwa una bwana wa kifaransa
 
Tanzania hairuhusu uraia pacha,ivo kwa tafsiri yao (Republic of Tanzania) ukichukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umeukana uraia wa Tanzania,hata kama ulipoomba huo uraia wa nchi nyingine huko ulipo hujaukana uraia wa Tanzania.
 
Beauty has sent many women into marriage but character is busy packing them out. [emoji23][emoji1787]
 
Kwa taratibu za sasa, utajulikana kama raia wa Ufaransa. Uraia wako wa Tanzania unapotea. Hata hivyo, Utanzania wako, yaani asili yako, hakuna serikali inayoweza kukupora. Wewe utabaki na asili yako ya Tanzania siku zote za maisha yako. Utakachokosa ni uraia ambao ni masuala ya kisheria na makaratasi zaidi...sijui tumeelewana?
 
U r not serious...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…