Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

Kwanza pata kibali cha kuishi huko, permanent residence. Usikimbilie uraia haraka itakunyima mengi kuwa huru Tanzania kama Mtanzania. Nchi nyingi ukizaa tu mtoto unakuwa na uwezo wa kuwa Raia pia hata sio tu kupitia ndoa.

Sheria inabadilika karibuni kuwa kama walivyo Indians na Ethiopians, na ni habari njema sana kwa diaspora na waliobadili uraia tayari.
 
Hivi kwa wanaofahamu let's say umeolewa na mzungu na ukapewa uraia wa Ufaransa na unaishi kule; so huku ndio inakuwaje na uraia wa Tanzania unaruhusiwa kuwa nazo mbili kwa wakati mmoja au inabidi uikane mmoja ubaki na mwingine?

Tujuzeni wadau wa humu
Dual citizenship hairuhusiwi Tanzania ..ni lazima ukane uraia wa nchi moja
 
Back
Top Bottom