Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

Kwanza pata kibali cha kuishi huko, permanent residence. Usikimbilie uraia haraka itakunyima mengi kuwa huru Tanzania kama Mtanzania. Nchi nyingi ukizaa tu mtoto unakuwa na uwezo wa kuwa Raia pia hata sio tu kupitia ndoa.

Sheria inabadilika karibuni kuwa kama walivyo Indians na Ethiopians, na ni habari njema sana kwa diaspora na waliobadili uraia tayari.
 
Dual citizenship hairuhusiwi Tanzania ..ni lazima ukane uraia wa nchi moja
 
Ndiyo utaathiri, utakua siyo mTanzania tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…