Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Nitaupata na watu watakoma. Nitaonyesha jeuri ya pesa haijawahi kutokeaHuo utajiri utaupata wapi sasa kwa mawazo ya kipimbi namna hiyo??
Baby njoo inbox nna muamala wako wa new yearKwani imekuaje mkuu.?
Sawa mkuu omba tu nipate tu hela nikipata hao kina ganimbi na hashhupupu watakaua cha mtotoJitahid Upate Chakula kabla ya kulala!!!!!!!
Hii Ni Njaa tu + Jobless!!!!!!
Kwa nini usiwagonge wenye magari, bali watembea mguu? Mwenyezi Mungu akujalie upate utajiri na uutumie kwa nia njema siyo ovu.Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.
Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.
Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.
Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.
Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
Mungu ahusiki katika utajiri wala umaskini wa mtu ni mtu mwenyewe na akili yake na mawazo yake na maamuzi yake.Nimegundua Utajiri ukiunuia kwa mawazo negative uhupati ng'oo!
Mungu aamakusudi yake, kuna watu amewanyima pesa kwa makusudi.