Magic Mike
Senior Member
- May 25, 2016
- 111
- 114
Jambo zuri ni kwamba watu kama nyie ndio huwa wanafanikiwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwq roho hiyo baki nayo, hutatajirika ng'o!Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.
Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.
Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.
Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.
Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
Mkuu yaelekea kufa kwa kujaza server kwa huu upuuziHaaaa haaaaa uwiiiiiiiiii JF never die
Ukiwa unaomba kitu, uwe na uhakika nacho. The man is simply undefinedIf wishes were Horses......Beggars would ride it,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tutakulogaSiku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.
Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.
Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.
Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.
Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
Twende kwa mtaalam kule DRC anaitwa Nchibaronda (wafuasi wa Lwanda Magere mpo) atakupa utajiri ndani ya siku 14 tu..
Utawagonga hadi dada zako dadeki
Utakufa maskini pole sana kijana!Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.
Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa.
Maumivu ninayo sasa hivi yani na hasira nataka kulipiza kisasi kwa wote waliniumiza kunidharau na kunitukana.
Hakuna yeyote ataingia kwenye mjengo wangu na hakuna yeyote ataingia kwenye V8 yangu.
Nitapaki gari langu mbele zao nakukaa kwenye bonet nan shampein kibao
Mkuu mufti Simba pole sana, mbona unaitesa nafsi yako? kwani mkuu unataraji kubadilisha nini katika ulimwengu huu zaidi ya wewe kudhalilika na kuishia mavumbini na walobaki wakakusahau na historia yako ilojaa ujivuni kibri na dharau pia kufutika.Mkuu watanzania wana madharau sana cha kushangaza wanaokudharau nao maisha yao ya kubahatisha. Kuna watu midomo yao ni sumu. Kisasi nitalipiza sema sheria za nchi. Nina hasira sana na wote nawaombea mabaya hakuna huruma. Nikiwa tajiri lazima niwe mbabe na dharau mbaya sana. Yeyote atakayenifuatafuata piga kumbo la taya nyanyua nakulitupa koringoni huku nikifyatua risasi kadhaa. Nyonga nyonga tu hamna huruma. Tumia majambazi maadui zangu wote. Tenga fungu la mabilion kwa kulipiza kisasi. Wale wanawake wote walionidharau na kuniabisha nikuwatuumia watu wawamwagie tindikali niko tayari hata kutoa Bilion. Naapa sitaongea na yeyote na sitajibu salamu yeyote. Nitakuwa mkali na amri Salam zangu kujibu ikibidi ni kufyatua risasi. Nitanunua gari kali na vyoo wakati wote nakufunga. Nikishika hata milioni kumi sasa hivi nyodo nitaonyesha. Nyambafu