Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha.

Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua kioo cha dirisha naangalia mandhari ya jiji la Dar haswa nikiwa napita route ya Kivukoni yaani raha nnayoipta yaani si mchezo wakuu.

Umaskini mbaya sana, tujitahidi tutafute pesa ndugu zangu tunaotumia daladala hali ni mbaya ila huwaga nainjoi maana ndo maisha yetu haya.

#Yesbishoohaswaaa
 
Kwa akili hizi utegemee uchumi wa viwanda
kwaiyo ss tunaopanda mwendo kasi hatuna akili au vp ustake kushambuliwa humu maana wengne nyinyi mnatumia mwendokasi humu mnajifanya mna magari yenu
 
Ndo maaana sipend kuja dar nikiwaza kugombania seat.
ww njoo kugombnia seat hata china pia wanagombnia seat na ndo hii pia ni kama mazoezi unaweka mwili fiti em vuta picha pale unapigana vkumbo kupimana ubavu na watu kama wanne hyo asubuh na jioni kila siku si ni sawa sawa na yule anaekimbia joging
 
mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini
Kwani mafanikio ni Nini!?ukijibu hili swali utagundua kitu kikubwa sana kwenye maisha Yako,na hutobabaishwa na Raha za mtu mwingine
 
ww njoo kugombnia seat hata china pia wanagombnia seat na ndo hii pia ni kama mazoezi unaweka mwili fiti em vuta picha pale unapigana vkumbo kupimana ubavu na watu kama wanne hyo asubuh na jioni kila siku si ni sawa sawa na yule anaekimbia joging
China gani?? Acha bangi wewe unachanganya china na india??
 
Back
Top Bottom