Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha.

Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua kioo cha dirisha naangalia mandhari ya jiji la Dar haswa nikiwa napita route ya Kivukoni yaani raha nnayoipta yaani si mchezo wakuu.

Umaskini mbaya sana, tujitahidi tutafute pesa ndugu zangu tunaotumia daladala hali ni mbaya ila huwaga nainjoi maana ndo maisha yetu haya.

#Yesbishoohaswaaa
Mwendokasi/daladala ni laana
 
Back
Top Bottom