Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Huyo ni mke wake ana haki ya kupiga simu wakati wwte. Maisha ya mke na mume ni tofauti na maisha ya Boyfriend and Girlfriend. Hata km amekipata kumbuka hiyo ni mali yake.Mwanzoni nilimwonea huruma huyu jamaa baadaye nimegundua kumbe ni kenge tu iweje umpigie simu mke wako saa10 usiku, kibaya zaidi unaongea rafudhi ya kichina wakati wewe ni mkerewe, alichokitafuta amekipata
Pole ndugu yanguNilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Mkuu Nina hakika bado uko mwaka wa pili Chou ingia kundini utajua mke kupigiwa siku mwisho saa 4 usiku au saa 2 Asante.Mwanzoni nilimwonea huruma huyu jamaa baadaye nimegundua kumbe ni kenge tu iweje umpigie simu mke wako saa10 usiku, kibaya zaidi unaongea rafudhi ya kichina wakati wewe ni mkerewe, alichokitafuta amekipata
Unaweza usiamini haya yaliyoletwa lakini huu ni ukweli,wanaume tunateseka sana,ndio maana siku zetu ni chache
Pole mimi ilinichukuwa miaka miwili kukaa sawa!! Niliteseka sana lakini Mungu alionyesha njia [emoji120] [emoji122] .Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
niushauri kiroho mbaya..ubaya ubaya tu noma mafuta ya taa..Tumia nguvu zote kumrudisha Alipokuwa awali hali ya kiuchumi iwe mara dufu.. halaf pita kule.. Noma noma tuu huwezi pata maumivu peke yako