Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Huyo ni mke wake ana haki ya kupiga simu wakati wwte. Maisha ya mke na mume ni tofauti na maisha ya Boyfriend and Girlfriend. Hata km amekipata kumbuka hiyo ni mali yake.Mwanzoni nilimwonea huruma huyu jamaa baadaye nimegundua kumbe ni kenge tu iweje umpigie simu mke wako saa10 usiku, kibaya zaidi unaongea rafudhi ya kichina wakati wewe ni mkerewe, alichokitafuta amekipata
Km umeoa utajua nn nazungumzia ila km ww ni bachelor ni ngumu sana kunielewa.