Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Mwanzoni nilimwonea huruma huyu jamaa baadaye nimegundua kumbe ni kenge tu iweje umpigie simu mke wako saa10 usiku, kibaya zaidi unaongea rafudhi ya kichina wakati wewe ni mkerewe, alichokitafuta amekipata
Huyo ni mke wake ana haki ya kupiga simu wakati wwte. Maisha ya mke na mume ni tofauti na maisha ya Boyfriend and Girlfriend. Hata km amekipata kumbuka hiyo ni mali yake.
Km umeoa utajua nn nazungumzia ila km ww ni bachelor ni ngumu sana kunielewa.
 
Mkuu ukishageuka nguruwe waombe wakufuge karibu na maeneo ninayoishi ili siku ukichinjwa nikukule nyama
 
Unaweza usiamini haya yaliyoletwa lakini huu ni ukweli,wanaume tunateseka sana,ndio maana siku zetu ni chache
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Pole ndugu yangu
 
Mwanzoni nilimwonea huruma huyu jamaa baadaye nimegundua kumbe ni kenge tu iweje umpigie simu mke wako saa10 usiku, kibaya zaidi unaongea rafudhi ya kichina wakati wewe ni mkerewe, alichokitafuta amekipata
Mkuu Nina hakika bado uko mwaka wa pili Chou ingia kundini utajua mke kupigiwa siku mwisho saa 4 usiku au saa 2 Asante.
 
Bora ugeuke jiwe ili frustration zikiisha urudie ubinadamu, ukiwa nguruwe watu watakutafuna na beer mapemaaaaa kabla stress hazijaisha.
 
Haya mambo yasikie kwa mwenzako. Heri yetu sie tunaongia kwenye ndoa huku mioyo yetu ikiwa 'imekomaa' tayari... Unapoingia kwenye ndoa na moyo uliopigwa ganzi that makes you the happiest husband...
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Pole mimi ilinichukuwa miaka miwili kukaa sawa!! Niliteseka sana lakini Mungu alionyesha njia [emoji120] [emoji122] .

Haya mambo ni rahisi kuyajadili na kuhukumu yakiwa kwa mtu mwingine, usiombe yakukute. Na wewe itakuchukuwa muda kukaa sawa. Mbaya zaidi ana mtaji. POLE SANA, POLE

Cairo's
 
niushauri kiroho mbaya..ubaya ubaya tu noma mafuta ya taa..Tumia nguvu zote kumrudisha Alipokuwa awali hali ya kiuchumi iwe mara dufu.. halaf pita kule.. Noma noma tuu huwezi pata maumivu peke yako
 
Umenikosha
 
Kumpenda mwanamke kuputiliza nao ni udhaifu mwingine
 
Back
Top Bottom