Pole sana.
Bila maumivu ya mapenzi huwezi kujua nn maana ya mapenzi.
Sasa hivi, fanya hivi.
Jifanye km hauna wivu kwakuwa huyo ni mkeo. Jipendekeze usioneshe hali ya kukasirika au kuchukia. Anza kujipenyeza kweny biashara, hata akikuripia ww usikasirike hata ukimkuta na jamaa ww uchune. Muoneshe mapenzi moto moto,ukishafanikisha kuingia kweny biashara yake, anza kumfilisi taratibu na kwa umakini mkubwa sana.
Halafu muache. Mwanamke ambaye umemkuta hana kitu huwa ni hatari sana akiaanza kushika hela, na ww unaonekana hauna hadhi ya kuwa naye. Pole sana