Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!
Ata usipotaja id akisoma hii comment si atakua ameshajua
 
Cha msingi kama hamna watoto piga chini ila kama mna watoto hapo mkanye na safari ya chini hamna tena chana passport yake
 
huo ni upuuzi.achana nae au ongea na(mshana)amshushe busha la kike[emoji1] [emoji12]
 
Nmepata point apa
 
Mkuu kitimoto ni tamu sana tutakutafuna na bia pembeni..
Anyway pole..usichukue maamuzi ya haraka..
 
I learned it rhe hardway man. hata mm nilipita kitu kilichofanana hivyo hivyo, alichonifanya yule dada,sitokisahau. Yes nimesamehe but realy ilibadilisha mtazamo wangu juu ya wanawake.
 
Pole sana. Ni hatari sana kuweka nadhiri ukiwa katika hali ya furaha sana, hasira sana au mateso.
 
umepanda miwa ndani ya shule.hawa ni dada zetu,mama zet,wake zetu,wachumba zetu.kiukweli si kuwahamini kwa asilimia 90 katika mapenzi.story yako kwamba mpa hapo wewe na mke.mke wako ndiye mwenye pesa sasa.pesa ndiyo imekusalitia ndoa yako

Hapana nimemzidi sana pesa kwa kiwango kikubwa
 
Mzima kwanza, mtetezi wa wanawake...! Nyie viumbe kwa kiasi kikubwa anayewaonea huruma huwa awaelewi vyema...!

Nikimuonea huruma mwanamke ni kwa hisani but they don't deserve aisei..!
Falasy of hasty generalization!
 
Huenda maisha ya ndoa umeyachoka. Yan simu ya shemeji yako hata huwa siigusi. Maisha yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…