Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Kwa hivi visa, mtu unaweza kufuru kwa kusema kuwa kuona maskini ni dhambi.
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Ukiona mwanamke anaolewa na mwanaume ujue anahali ngumu kiuchumi anataka kusitiriwa au anahali nzuri kiuchumi anaolewa ili amuue mmewe amiliki mali au anapanga kumwibia mwanaume kwa kuvuruga ndoa wagawane mali za mmewe baada ya kuachana.
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.

Pole sana......mkuu
 
Hivi kuna Nn Kati ya biashara na wanawake walio ndani ya Ndoa maaana toka nisikie hz habar wanaume wanalia tu kila uchao japo Sio wanawake wote huwaliza waume zao hebu akina dada humu ndani Jaman mtueleze Siri hii
 
Tatizo wanawake wengi wa leo wapo kimaslahi zaidi , hawana upendo wa kweli na pesa zako ndizo zinaweza kukutanguliza ahera pale wanapopenda mwanaume wa nje.
 
Afu mbaya zaidi ukute MCHINA anapga bao tano..we ukipga mbili...anakwambia dear nmechhooka kesho safari ya china..ntachelewa airport
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.

Hapo umeliwa .... sasa utaamua tu cha kufanya, mke kama anaenda china na kufanya biashara wewe unakaa home tu, anakutana na watu lazima ataliwa tu, huo ndo ukweli. Hivi mnaulizaga wazee wenu ushauri kabla ya kuamua haya mambo ya kuwasaidia wadada halafu mje muwaoe? anakuwa kakukubali kwa mazingira ya shida, maamuzi yake si ya mtu sober, unaliwa bro!
 
Mmepanga?hama akija akute umehama,kama mmejenga ondoka nenda kapange mwache peke yake,usimuulize kitu chochote,Unatakiwa ufanye hivyo akija akute hakuna mtu nyumbani.
 
Pole mkuu, chonde usigeuke nguruwe kwani, watakubadilisha uwe kiti moto. Cha maana akirudi kaa naye chini mjadili kulikoni? kama anataka kuendelea kugawa papuchi kwa wengine basi kila mmoja achukuwe hamsini zake. Maumivu yatakuwepo kwa muda na yataisha tu. Si busara kuendelea kukaa kwenye mahusiano ambayo mapenzi yamekwisha na yamebaki mazoea tu. Wajameni, duniani kuna mambo.
 
Mimi kila siku nasema nikimfungulia mke au mchumba biashara inakua chini ya jina langu... Siruhusu upuuzi ili siku akiwa nyoka mi nakua jinyoka
 
Back
Top Bottom