Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Ingawaje wala la Mwanamke kutoka nje ya ndoa sio guarantee lakini kuna kazi zinavishawishi sana kwa wanawake
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
hahaaaa pole mkuu
kwahiyo hupndi tena ..unampiga chini au..??
 
Hakuna kuchunguza ni mwanaume wake tanzania ilikuwa saa 4 usiku China saa 10 usiku nachunguza nini ndugu saa 10 usiku na sauti za watu wako usingizin
hahaaa sasa mkuu uchunguze nini tena.hapo...akili kumkichwa..tena wala usimuulize maana atkuwa ameshakuandalia binge silacinema ya udanganyifu...
 
Du ?! Nadhani hukutegemea. Ndivyo maisha yalivyo. Expect anything as long as you live. Chamsingi ni kuchukua hatua stahiki maisha yaendelee. I repeat some times women are killers either silently or suddenly....
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Duuuuu. Sio kwa kiapo hicho mkuu. Ila kaka jipe moyo hayo nimajaribu tu, jaribu kufuta matukio yote halafu simama tena nadhani utaona upendo mpya kwako
 
kupenda nisawa namwanamke ...akishika mimba pindi anapokutana nazile kashkash za ubebaji mimba mpka kuja kujifungua...huwa hatamani tens kubeba mimba huwa anaapa mpka kwa mizimu ya mababu ..wengine huwa wanawatukana wahusika wao wanapokuwa leba...UTAMU UNAKUJA PALE INAPOPITA MIEZI KADHAA MARA MWAKA BAADA YAKUJIFNGUA...ANASAHAU MAUMIVU YOTE YLIYOITA ..anatoa cheza kama amepandwa na mapepo Mara ndiiiiiiiiii ..kibendi .hapo ndio anapokuja kutambua kuwa kmbe MUNGU sio le mubebez...hahaaa
Kupenda niajali mkuu hkunaga ahadi...subiri tu utapnda tena...
ila wakati utakaokuwa umepnda tena ..utakuwa nauzoefu wanamna yakuish vyema ktk mahusiano...
 
Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!
hahaaaaa
tatizo focus yko ktk mahusiano IPO kwenye muonekano wamtu 1st nasio uwezo wa akili yake ..waweza kupata mwanamke mzuri ..lkini anaakili kama za gigy money
 
Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!
Hahaha ilikuaje comrade
ila, wazungu wanasema "vice versa is true"
 
Unapomsaidia mtu yeyote awaye yule....either mke au mtu baki tu...fanya hivyo kwa upendo wa moyo wako.fanya hivyo with in your capacity...ucfanye au kutoa msaada ulio nje ya uwezo wako...ukifanya kitu ndani ya uwezo wako either ni msaada wa fedha au mali kwa mtu hata siku yule mtu mmetofatiana haitakuuma kwa sababu myo wako ulipata faraja kwa kufanya hvyo na nafsi yako haitaumia bcz ni kitu kilichokuwa ndani ya uwezo wake...but otherwise ukifanya zaidi ya uwezo wako au ukifanya kwa kutegemea kitu u will end up bitter and dissapointed...do it for love and because you can
 
Not all!! Kuna MTU tulipanga nae, nasubiria arudi toka masomoni tutiliane saini kilammoja ale kwake and I mean it, miaka 3 tuliyokubaliana, ingawa yeye ameshaenda mbaaali na sitowezarudiana nae kabisa! I only keep the promise of those 3 yrs to me! Nashukuru nimeweza
kwa hiyo sasa jimbo lipo wazi au? Mie nataka kugombea kama lipo wazi huenda naweza nikawa mbunge mzuri na kuleta uwakilishi bora katika himaya ya familia. Waiting to hear from YOU!
 
Ungeweka hata kapicha ka hiyo hotel...

Au ongea kichina walau ...
 
Kila siku mi nasema wanawake wote akili zao sijui zikoje wanauuuuuuuzi hawa
 
Back
Top Bottom