Nikipiga kimoja tu nasinzia

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,591
Reaction score
1,616
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF?

Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu.

Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi.

Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?
 
Hii thread kama ilishakuwepo tukaijadili sana sijui urudi nyuma usome hizo comments halafu tuendelee unaonaje???
 
Hii thread kama ilishakuwepo tukaijadili sana sijui urudi nyuma usome hizo comments halafu tuendelee unaonaje???

endeleeni tu, labda wengine ni wageni humu na angehitaji msaada wenu. inawezekana hili ni tatizo la wengi na siyo mimi tu...
 
piga puchu bao mbili kabla hujaingia ulingoni kwa demu
 
pole sana mkuu,
kuna maswali mawili yawekwe sawa
1. ni kuanzia lini hiyo khali imetokea
2. ni wanawake wangapi umewahi kufanya nao mapenzi mtangu ubaleee
3.je ni wote ulikuwa inapiga bao moja tu unachoka
 
The truly unpredictable strive to cultivate an image of predictability.
 
nimelogwa na nani sasa? demu wangu au majirani? hivi haya mambo nayo yanalogeka eeeh?

majirani watakuwa wanakuonea wivu ndo wamekuroga.yaani haiwezekani goli moja umarembua mimacho kama teja..haiwezekani hata kidogo
 
pole sana mkuu,
kuna maswali mawili yawekwe sawa
1. ni kuanzia lini hiyo khali imetokea
2. ni wanawake wangapi umewahi kufanya nao mapenzi mtangu ubaleee
3.je ni wote ulikuwa inapiga bao moja tu unachoka

hii imeanza mwaka huu,
nilishapiga wengi mpaka idadi siikumbuki sana...
lakini kwa mfano nikiwa na mwingine, napiga mpaka tatu ndio nalala, ila nikiwa na huyu mchuma wangu, ni kamoja tu, hoi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…