Nikipiga kimoja tu nasinzia

Nikipiga kimoja tu nasinzia

hii shughuli sijawahi kuhangaika nayo kabisa....hapo kwenye red
Duh, nilifikiria nimekudayagnozi vizuri kumbe sijapatia. Haya bana, inabidi waganga wengine walitafutie tiba tatizo lako!
 
inawezekana kuna kitu huwa anafanya? eeeh. mi huwa nikistuka nakuta na yeye keshalala...we ni mdada, kwani huwa ikitokea hivyo mwanamke anaendelea kufanya nini?

njoo tufanye praktical utajua mpango kamili
nipo somalia apa karibu wkend tutende!!1
 
njoo tufanye praktical utajua mpango kamili
nipo somalia apa karibu wkend tutende!!1

Duh... Somalia!!! Hivi kule watu wanafanyaga kweli? Maana fikiria kati ya majambo kabomu kanaruka kama vile vya mbagala...
 
Duh... Somalia!!! Hivi kule watu wanafanyaga kweli? Maana fikiria kati ya majambo kabomu kanaruka kama vile vya mbagala...

kule somalia mabomu ni sawa na kelele za mlango ambazo hazimzuii mwenye nyumba kulala. hvyo majambo wanafanya kama kawaida tu na wala haiwapi shida kihivyo...
 
Na wewe bana
ukienda ku do kula mirungi si chini ya mitano
kwishna ukilala basi weewe una kaugonjwa kapime fbp
 
ha ha ha ha lol!!!!!!!!!!

kweli bana ..haiwezekani yaani wewe koka umnunulie ,chipsi zako ale ,vocha umtumie na taxi ulipe halafu eti ukiingia uwanjana kimoja tu umelegea kama sio kurogwa ni nini jamani
 
Lakini ukiamka si kamchezo kanaendelea tena, then unalala ukiamka tena then unalala, ukiamka tena then unalala ukiamka tena then......., hiyo safi kabisa, otherwisw unamtesa huyo dada wa watu an the best way mlete hapa JF ili wakali wampe enjoyment kidogo asije kufa akiwa hajawi kunanihino!
 
kweli bana ..haiwezekani yaani wewe koka umnunulie ,chipsi zako ale ,vocha umtumie na taxi ulipe halafu eti ukiingia uwanjana kimoja tu umelegea kama sio kurogwa ni nini jamani

Kalamu mbona umeng'ang'ania mambo ya kurogwa tuuuuu??? Kuna kitu gani nyuma ya pazia???
 
Mti mkavu uko wapi hawa jamaa hawatoi msaada wowote....hebu ingilia kati utoe msaada
 
Lakini ukiamka si kamchezo kanaendelea tena, then unalala ukiamka tena then unalala, ukiamka tena then unalala ukiamka tena then......., hiyo safi kabisa, otherwisw unamtesa huyo dada wa watu an the best way mlete hapa JF ili wakali wampe enjoyment kidogo asije kufa akiwa hajawi kunanihino!

yaani niamka nakuwa sina hamu tena. ila samtaim naweza kuendelea ku-do. kuhusu kuwaletea humu JF mumnanihii..hiyo takuwa ngumu, ndio maana nimeomba ushauri ili mimi mwenyewe nikamnanihiii mpaka afike kunako...
 
hii imeanza mwaka huu,
nilishapiga wengi mpaka idadi siikumbuki sana...
lakini kwa mfano nikiwa na mwingine, napiga mpaka tatu ndio nalala, ila nikiwa na huyu mchuma wangu, ni kamoja tu, hoi...

Naona vijana wengi wamekuja na ushauri, ngoja nasi wazee tukusaidie:

1) its called boredom of love. Tatizo kubwa linatokana na kufanya mapenzi ki-routine, inakuwa unaelewa na mpenzi wako anaelewa, mtaanza vipi, mtamaliza vipi mpaka inakuwa ni routine na kila mmoja ana kuwa bored. Tiba: Badilisha routine za kufanya mavituz, kama vile badili time, venue na tactics.

2) Unafanya kazi sana za kukuchosha si tu kimwili bali kimawazo. Angalia, ikiwa ni kazi tuuu na nyumbani ujuwe kuna kazi! Tiba: Kazi na mchezo, mchezo na kazi. Ukiona umetingwa sana na kazi na unaweza kukimbia nyumbani kwa lisaa limoja basi fanya hivyo, ondoa presha kwa kuvinjari na your lover nyumbani, halafu rudi kazini, you will succeed in both.

3) Unafanya tendo la ndoa kwa mpenzi wako ili mradi tu basi ulifanye na unakuwa huna hamu nalo. Tiba: usifanye mapenzi mpaka pale unaposikia kweli unataka kufanya na mwenzako kweli anataka kufanya.

Hayo yote ni kwa wana-ndowa tu.
 
@ dar es salaam umemaliza kila kitu. Namshauri mhusika atekeleze kwa vitendo ushauri ulompa. It's true ataona tofauti
 
Kwa sababu umesema kwa wanawake wengine mambo fresh, kwa hiyo vitu kama depression,stress,illegal substances, diabetes tunaweka pembeni.

Unatakiwa uchunguze ni kitu gain kinakuvutia kwa hao wanawake wengine lakini unakikosa kwa mke wako. Kwa mfano,

SNF13PANTX-682_1104465a.jpg

Unaweza kuwa umerudi kutoka bar ya jirani,umeshapiga bia moja au mbili unafika chumbani unakuta mkeo kavaa kitu kama hicho hapo juu anakusubiri, kwa uvaaji kama huo lazima ufanye kwa kumrithisha.

Watanzania wengi tumekuwa tunaoa mwanamke kwasababu anakufulia,kukupasia,kufanya nyumba usafi vizuri na kukupikia chakula kitamu. Kuongea na mwamume mwingine zaidi ya ndugu zake kwake ni sawa na kituo cha polisi.Unaweza kuwa umemwoa kwa sababu ya tabia nzuri lakini kwenye mambo ya chumbani na kuvaa kwake kwake ni zero.

Streetball_Girls.jpg

Halafu unakuta nje una kimada kama huyu hapa juu.Uvaaji wake ni wakuvutia na wakati wote ananukia uturi mzuri.Ni mtundu chumbani, anapiga tarumbeta mpaka bafuni. Lazima utapata matatizo kwa mkeo.
 
kweli bana ..haiwezekani yaani wewe koka umnunulie ,chipsi zako ale ,vocha umtumie na taxi ulipe halafu eti ukiingia uwanjana kimoja tu umelegea kama sio kurogwa ni nini jamani

hahahahaha......u make me laugh though this is a problem....
 
naona vijana wengi wamekuja na ushauri, ngoja nasi wazee tukusaidie:

1) its called boredom of love. Tatizo kubwa linatokana na kufanya mapenzi ki-routine, inakuwa unaelewa na mpenzi wako anaelewa, mtaanza vipi, mtamaliza vipi mpaka inakuwa ni routine na kila mmoja ana kuwa bored. Tiba: Badilisha routine za kufanya mavituz, kama vile badili time, venue na tactics.

2) unafanya kazi sana za kukuchosha si tu kimwili bali kimawazo. Angalia, ikiwa ni kazi tuuu na nyumbani ujuwe kuna kazi! Tiba: Kazi na mchezo, mchezo na kazi. Ukiona umetingwa sana na kazi na unaweza kukimbia nyumbani kwa lisaa limoja basi fanya hivyo, ondoa presha kwa kuvinjari na your lover nyumbani, halafu rudi kazini, you will succeed in both.

3) unafanya tendo la ndoa kwa mpenzi wako ili mradi tu basi ulifanye na unakuwa huna hamu nalo. Tiba: Usifanye mapenzi mpaka pale unaposikia kweli unataka kufanya na mwenzako kweli anataka kufanya.

Hayo yote ni kwa wana-ndowa tu.

salute!!!!!!!!!!! This is great mkuu!!! I really appreciate our advice!!!
 
Back
Top Bottom