Nikipiga kimoja tu nasinzia

Nikipiga kimoja tu nasinzia

hii imeanza mwaka huu,
nilishapiga wengi mpaka idadi siikumbuki sana...
lakini kwa mfano nikiwa na mwingine, napiga mpaka tatu ndio nalala, ila nikiwa na huyu mchuma wangu, ni kamoja tu, hoi...

mhh anakuwekea pilton kwenye nanihii mwezioo..we mkague fresh utaona..pole...
weka supaglue machoni leo tuone itakuwaje....
 
Mh ugonjwa wa wengi huu, mi sio lisaa limoja mpaka niamshwe!
 
huyo mwennzi wako unampenda kweli auunalazimisha penzi? maana sometimes kama mtu umpendi hamu huisha haraka kwasababu tendo lenyewe hukinai kuliko ukifanya na mtu umpendae toka moyoni mwako
 
huyo mwennzi wako unampenda kweli auunalazimisha penzi? maana sometimes kama mtu umpendi hamu huisha haraka kwasababu tendo lenyewe hukinai kuliko ukifanya na mtu umpendae toka moyoni mwako

actually nampenda, u labda nimemzoea mno ndio maana inatokea hivyo...
lakini sijui nifnyeeje maana hapo baade nahisi itakuwa balaa zaidi, hasa tukioana kabisa...
 
Mh ugonjwa wa wengi huu, mi sio lisaa limoja mpaka niamshwe!

Hili ni tatizo,
Nadhani hali hii husababishwa zaidi na:-
1. Kunenepa hovyo
2. Kuwa na mlundikano wa mawazo

Ila jitahidi walau tumia natural meals kama vile SUPU YA PWEZA sometimes b4 mechi basically jioni, maana pweza hupatikana mjini ready to eat nyakati za jioni.
 
ok, sasa nimeanza kuelewa, ndio maana unakuta wazee jionijioni wako bize na vijiti wakitafuna pweza na kunya supu ya pweza....
upande wa kunenepa, mi siyo mnene sana ingawa mwili umenza kujakuja. asante kwa mawazo mazur...
 
we ukishalala ye anafanyaje?umemwuliza?kamwulize leo at mamaa wakat nimelala km pig afta game huwa unanifanyia/unafanya nini?
akikwambia kwan vp mwambie anna kanituma na kesho ntakuja kuchukua jibu!!!
 
we ukishalala ye anafanyaje?umemwuliza?kamwulize leo at mamaa wakat nimelala km pig afta game huwa unanifanyia/unafanya nini?
akikwambia kwan vp mwambie anna kanituma na kesho ntakuja kuchukua jibu!!!

inawezekana kuna kitu huwa anafanya? eeeh. mi huwa nikistuka nakuta na yeye keshalala...we ni mdada, kwani huwa ikitokea hivyo mwanamke anaendelea kufanya nini?
 
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF? Yaani mi nikiwa kwenye majambo na nanihii wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu. naamka baada ya kama lisaa limoja hivi. Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?

wewe auna tatizo tatizo lipo kwa mwenzako nipe contact zake atapona kabisa na ww ukikutana nae tena utafuraia mechi
 
Back
Top Bottom