hii imeanza mwaka huu,
nilishapiga wengi mpaka idadi siikumbuki sana...
lakini kwa mfano nikiwa na mwingine, napiga mpaka tatu ndio nalala, ila nikiwa na huyu mchuma wangu, ni kamoja tu, hoi...
kiswahili kimesanifishwa mwaka 1925.
Chini ya gavana wa kiingereza.
situmii sigara wala pombe...ingawa huwa nakunywa bia moja hadi mbili lkn mara chache mno...kama mara 2 kwa mwezi...Inawezekana we ni mlevi! Unatumia vileo, sigara au?
huyo mwennzi wako unampenda kweli auunalazimisha penzi? maana sometimes kama mtu umpendi hamu huisha haraka kwasababu tendo lenyewe hukinai kuliko ukifanya na mtu umpendae toka moyoni mwako
Mh ugonjwa wa wengi huu, mi sio lisaa limoja mpaka niamshwe!
Hili ni tatizo,
Nadhani hali hii husababishwa zaidi na:-
1. Kunenepa hovyo
2. Kuwa na mlundikano wa mawazo
Ila jitahidi walau tumia natural meals kama vile SUPU YA PWEZA sometimes b4 mechi basically jioni, maana pweza hupatikana mjini ready to eat nyakati za jioni.
mhh anakuwekea pilton kwenye nanihii mwezioo..we mkague fresh utaona..pole...
weka supaglue machoni leo tuone itakuwaje....
mmmmh, piltoni? ngoja ntaanza kufatilia kwa umakini
we ukishalala ye anafanyaje?umemwuliza?kamwulize leo at mamaa wakat nimelala km pig afta game huwa unanifanyia/unafanya nini?
akikwambia kwan vp mwambie anna kanituma na kesho ntakuja kuchukua jibu!!!
kunywa energy drink kabla ya kuanza game...........:A S-alert1:
hii shughuli sijawahi kuhangaika nayo kabisa....hapo kwenye redAisee hayo ni madhara ya ..nyeto!
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF? Yaani mi nikiwa kwenye majambo na nanihii wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu. naamka baada ya kama lisaa limoja hivi. Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?