Nikipiga kimoja tu nasinzia



LIKE mkuu
 


Weka picha
 
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF?

Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu.

Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi.

Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?



Je, ukichapa nyumba ndogo inakuwaje? Usikute ni mkeo ndiye anayekuboa, kwani utakuta mara nyingi ukiwa kwenye uhusiano na mwanamke kwa muda mrefu ile hamu naye inakutoka inabaki mazoea tu....yaani inakuwa unatomba kimazoea tu kuondoa karaha ila ukiwa nje ndiyo unapata raha zaidi. Si ndiyo unavyojisikia au? Kama ni hivyo basi ni tatizo dogo sana hilo, ushauri ni kwamba uendelee kuchapa wa nje na umpe mkeo likizo ya kama mwezi hivi au mpaka hisia zikujie.
 
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF?

Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu.

Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi.

Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?

Pitia attachments zote hizi, Zina information ya muhimu sana juu ya tatizo lako
 

Attachments

  • 1438546823560.jpg
    87.7 KB · Views: 266
  • 1438546858008.jpg
    80.7 KB · Views: 234
  • 1438546884234.jpg
    84.5 KB · Views: 227
  • 1438546908085.jpg
    73.2 KB · Views: 224
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…