Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
twajibiii
mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana
anaongea na nani?
wanaongea nini?
inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje?
na asipo jibu sms ndio kuzidi
nahisi kuna mtu bora zaidi yangu kwake ambaye akiona sms yake anajibu kwa haraka yaani navurugwa kabisa ase
hapa juzi nilimpigia simu usiku saa nne ikawa inatumika nikakata baada ya dakika kadhaa akapiga nikakata
sijamtafuta up leo nimemwambia asinitafute ila naumia sana kwasababu nampenda sana af yeye anatumia udhaifu wangu niafanyeje?