nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
twajibiii

mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana

anaongea na nani?

wanaongea nini?

inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje?

na asipo jibu sms ndio kuzidi

nahisi kuna mtu bora zaidi yangu kwake ambaye akiona sms yake anajibu kwa haraka yaani navurugwa kabisa ase

hapa juzi nilimpigia simu usiku saa nne ikawa inatumika nikakata baada ya dakika kadhaa akapiga nikakata

sijamtafuta up leo nimemwambia asinitafute ila naumia sana kwasababu nampenda sana af yeye anatumia udhaifu wangu niafanyeje?
 
Mwanzoooo

Ama mithalii
 
hapana
Kumbuka ni mpenzi sio mke

Hivyo ana uhuru wa kufanya vile anavyoona inamfaa bila kukunyima haki zako za msingi
atakama anatakiwa ajue mm nina nafasi gan kwake
 
Tafuta pesa wanawake ndivyo walivyo, unamtumia pesa atakwambia mbona hujatuma ya kutolea, ukimtumia muda wa maongezi anaweza asikipigie wala kukutumia sms ya asante nimepata kumbuka wako wengi na nyie mko wengi
 
Tafuta pesa wanawake ndivyo walivyo, unatumia pesa atakwambia mbona hujatuma ya kutolea, ukimtumia muda wa maongezi anaweza asikipigie wala kukutumia sms ya asante nimepata kumbuka wako wengi na nyie mko wengi
duh kasheshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…