nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

Huu mtihani sio kwako tu,tuko wengi.
 
Bebi anaongea na bebi wake.Nongwa ya nn.

Hutaki mwezio atumike?
 
Bado ujaiva kwenye mapenzi, kama mpaka sasa unawaza simu ya mpenzi wako.

Bado ujaiva kwenye mapenzi kama mpaka sasa ujui kama unatembea na mme wa mtu.

Bado ujaiva kwenye mapenzi kama mpaka sasa una wivu kupitiliza.

Bado ujaiva kwenye mapenzi kama unaona mpenzi wako ni mali yako.

Bado ujaiva kisaikolojia kama unaumiza nafsi yako kwa ajili ya mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…