Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Na Pia wao kuishi mikoa tofauti pia inachangia basi wawafikirie hao watoto watakuwa katika mazingira gani wao wakiwa hawaelewaniMkuu,,inawezekana mwanamke alobadilika baada ya kupanda vyeo akarudi ktk ukawaida wake?
Mi mke wa hivyo naona hana tofauti na wanaowakataa wachumba zao baada ya kumaliza chuo,,kupata kazi au kupata bwana mwenye uwezo zaidi.
Kweli,,afu mkuu angeangalia ni kitu gani kipo nyuma ya pazia ktk upandaji vyeo huo wa haraka harakaNa Pia wao kuishi mikoa tofauti pia inachangia basi wawafikirie hao watoto watakuwa katika mazingira gani wao wakiwa hawaelewani
Yajenge na mkeo, achana na mchepuko.Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
SiweziYajenge na mkeo, achana na mchepuko.
Yaan ni changamoto Sana ndoa saiv life span yake 3 to 5yrs zaid ya hapo wanakuambia tunalea tu watoto Mungu wetu tusaidie na yote hii ni kukosa maarifa jamani tu tuyatafute maarifa ndo njia pekee "My people are destroyed from lack of knowledge.Because you have rejected knowledge I also reject you as my priests.Because you have ignored the law of your God, I also will ignore your children" nilisikiliza speech ya The late Dr. Myles MunroeKweli,,afu mkuu angeangalia ni kitu gani kipo nyuma ya pazia ktk upandaji vyeo huo wa haraka haraka
Kweli tupu ndoa nyingi after 5yrs huwa zipo tu coz ya watotoYaan ni changamoto Sana ndoa saiv life span yake 3 to 5yrs zaid ya hapo wanakuambia tunalea tu watoto Mungu wetu tusaidie na yote hii ni kukosa maarifa jamani tu tuyatafute maarifa ndo njia pekee "My people are destroyed from lack of knowledge.Because you have rejected knowledge I also reject you as my priests.Because you have ignored the law of your God, I also will ignore your children" nilisikiliza speech ya The late Dr. Myles Munroe
Ikiwa mimi ni wahovyo basi wewe utakuwa taahira kwa sababu hujui chochote kuhusu mimi! https://jamii.app/JFUserGuide ur mother fala weweWewe ni mtu wa hovyo hovyo tu kwahiyo ukikisoma na mkeo mchepuo ndio suluhisho????
Kweli asee....hatufuati kabisa sheria za mungu...hilo ndo tatizo kubwaYaan ni changamoto Sana ndoa saiv life span yake 3 to 5yrs zaid ya hapo wanakuambia tunalea tu watoto Mungu wetu tusaidie na yote hii ni kukosa maarifa jamani tu tuyatafute maarifa ndo njia pekee "My people are destroyed from lack of knowledge.Because you have rejected knowledge I also reject you as my priests.Because you have ignored the law of your God, I also will ignore your children" nilisikiliza speech ya The late Dr. Myles Munroe
Haaaaaaahahahaaa!ukitoka huko njoo kwangu unipangie nyumba hiyoo!!
Halafu mie sitaki iPhone nataka tecno tu
Hilo ndio tatizo, ok back to your thread fanya mpango uelewane na mkeo sio kutafuta mchepuko.Ikiwa mimi ni wahovyo basi wewe utakuwa taahira kwa sababu hujui chochote kuhusu mimi! **** ur mother fala wewe
achana nae huyooIkiwa mimi ni wahovyo basi wewe utakuwa taahira kwa sababu hujui chochote kuhusu mimi! **** ur mother fala wewe
Hata na yeye huko mkoani yupo na kijeba kingine, so maisha burdaaaani.Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Kwa mchepuko hauna raha wala amani maana hakujali naamini huumwi Sana ni hizi homa zetu za kawaida maana umeweza kuanzisha thread haya pata picha umeumwa hata wiki tu anatakiwa akuhudumie kwa kila kitu ataweza kweli huyo kukuogesha haya kwa Wife Ndo hivyo tena hakuna amani sisi tunakushauri tu mwisho wa siku wewe ndo hakimu wa kila kitu juu ya maisha yako mpaka sasa huna mtu anakupa amani raha utamani kurudi nyumbani mapema.Mtafute Mungu kwani kwake kuna amani na furaha ambayo haipatikani popote mengne yatakuja tu muombe akupe utulivu na hekima ya kusolve changamoto unazozifaceKweli tupu ndoa nyingi after 5yrs huwa zipo tu coz ya watoto