Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Hakuna kitu kinachorudisha nyuma maendeleo ya wanaume wengi kama michepuko. Yaani ni kwikwi. Utakuja kushtuka pameshakucha na hakuna namna ya kurevive situation tena.
 
Baki na Mkeo mtatue tofauti zenu.

Michepuko itakupa hasara ya umasikini, upotezaji wa muda na/au magonjwa ya zinaa.
 
Fair game... Unamtumia kwa starehe and she knows na yeye anatumia pesa zako
 
Wanaume wengine mnachafua taswira ya wanaume wote, huu upuzi ungebaki nao kichwani..nimekudharau sana...sio kila kitu cha kusema mbele za watu
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
 
Mkuu we Jipu.. where do you get all that money these current days!!!!!!!
 
Unauliza kama upo sahihi kuwa na mchepuko au kwa dhamira yako ya kumtolea mchepuko wako vitu nje?? By the way always remember mtenda hutendwa,what goes around comes around.
 
Unataka mchepuko akupende kwani una malengo naye. Umesahau hio ni kama biashara kati ya papuchi na pesa...
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Sasa unataka ule bure tu...hyo ndo dhaman ya uaminifu...ilipie..kama hautak mruhusu awe anatoka na midume mingne ili acwe anakuomba hela
 
Hatuwez kusuruhishwa maana kila mmoja anajiona anaweza ishi bila mwenzake na vyeo anavyopanda ndo vinampa kibur zaid acha tuish hivi hivi na sina mpango wa kuoa tena
Hayo matatizo ya ndoa yako kwa jinsi unavyoyaelezea yanaletwa na wewe kushindwa kusimama kama kichwa na kiongozi wa familia amini hivyo. Kuvunjika kwa ndoa ni kushindwa kwako kusimama kwenye nafasi yako hivyo nafasi yako imepokwa na mwenza wako na wewe umeshindwa kurudi kwenye kiti chako cha kichwa cha familia. Jichunguze pigania ndoa yako isimame upya. Michepuko sio tatizo kuwa nayo maana hata wenye ndoa zisizo na ugomvi tunayo. Tatizo ni ndoa yako irudishe upate furaha na watoto walelewe na wazazi wote kwa Amani na Upendo
 
Back
Top Bottom