Endelea na MchepukoBora mchepuko ana hata dakika tano za kunipa pole kuliko yule mzee wa busy yeye na ofisi na kazi ndo mungu wake na mme wake
promo at work tunakuja pm usijarihahahaaa!ukitoka huko njoo kwangu unipangie nyumba hiyoo!!
Halafu mie sitaki iPhone nataka tecno tu
acha kumshauri ujinga acha achunwe tu hakuna namnaUko sahihi kabisa Mkuu
si amesema anatafuta mwengine? acha huyo nae afaidi.acha kumshauri ujinga acha achunwe tu hakuna namna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuu!promo at work tunakuja pm usijari
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]iphone 7 binamu acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naitakaaa![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]iphone 7 binamu acha tu
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Jeni kwani uliniambia ??? Kama unashida ya hivvyo vitu??? Hebu njoo tutetehahahaaa!ukitoka huko njoo kwangu unipangie nyumba hiyoo!!
Halafu mie sitaki iPhone nataka tecno tu
Sasa unataka ule bure tu...hyo ndo dhaman ya uaminifu...ilipie..kama hautak mruhusu awe anatoka na midume mingne ili acwe anakuomba helaNina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Hayo matatizo ya ndoa yako kwa jinsi unavyoyaelezea yanaletwa na wewe kushindwa kusimama kama kichwa na kiongozi wa familia amini hivyo. Kuvunjika kwa ndoa ni kushindwa kwako kusimama kwenye nafasi yako hivyo nafasi yako imepokwa na mwenza wako na wewe umeshindwa kurudi kwenye kiti chako cha kichwa cha familia. Jichunguze pigania ndoa yako isimame upya. Michepuko sio tatizo kuwa nayo maana hata wenye ndoa zisizo na ugomvi tunayo. Tatizo ni ndoa yako irudishe upate furaha na watoto walelewe na wazazi wote kwa Amani na UpendoHatuwez kusuruhishwa maana kila mmoja anajiona anaweza ishi bila mwenzake na vyeo anavyopanda ndo vinampa kibur zaid acha tuish hivi hivi na sina mpango wa kuoa tena