danielawit
Member
- Sep 23, 2016
- 16
- 7
Mjane[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mkuu angalia unavyorukaruka..... huyo anapenda your money, na kwa sbb wewe ni zoba,, akikohoa kdg unatoa,,, achana nae na usijaribu videm vya chuo pasua kichwa balaa..... tafuta angalau mjane....hahahaaaa au signle mom.....
Una roho nzuri sijapata onaa!karne hii? Unatunza mchepuko kwa adabu zote? Wala kwa Mungu huna dhambi ya kuchepuka kaka![emoji15]Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
We katili na wakati mwenyewe umejifanya una hela sasa kwanini usikanguliwe??mambo mengine mnajitakiaga tu we umejionesha unazo so nayeye anazipigia hesabu hizo hizo.Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Sasa wewe unalialia nini? wakati unasema wewe umemlipia kodi vimil kadhaaaaaaaaaaa...............................?Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Haupo sahihi.huo ni udhalilishaji
Mwambie tu mambo hayapo vizuri pesa inasumbua kidogo nitakununulia siku nyingine iphone 7
[emoji13] [emoji13] aje kwangu mm mjane mm nataka nokia ya tochi basiNAPINGA HOJA YAKO....JAMAA YUKO SAHIHI.
HUITAJI KUMWAMBIA MCHEPUKO JUU YA HALI HALISI YA UCHUMI WA SASA WA BWANA JPM...IKO WAZI MPAKA WATOTO WADOGO WANAJUA IWEJE YEYE AZIDIWE AKILI HATA NA WATOTO WA PRAIMARI?
MCHEPUKO APIGWE CHINI ATAFUTWE WA KUSOMA CHUO NADHANI ATATHAMINI MCHANGO WA SPONSOR WAKE NA KUMUHESHIMU KAMA HAHA YETU.
KUHUSU MKE KUWA MBALI ...BADO NAUNGA MKONO HOJA YA MLETA MADA KUCHEPUKA...HUWEZI KUKAA MWEZI MZIMA MAMA KASAFIRI WEWE HUGONGI,....KICHUPA KIMEJAA MWISHOWE UCHAFUE MASHUKA KWA KUJIPIGA MIBAO YA NDOTONI.
KUHUSU MIGOGORO NA MKE WA NDOA NADHANI HILI SUALA LIPELEKWE KWA MSHENGA AKISHINDWA PELEKA KWA WAZAZI WAKISHINDWA PELEKA KWA VIONGOZI WA DINI WAKISHINDWA TIMBA MAHAKAMANI FILE DIVORCE ACHANA NA MKEO RASMI KISHA OA MMOJA KATI YA MICHEPUKO YAKO....NASHAURI UOE HUYO WA CHUO MAANA UMEMGHARAMIA KUANZIA KUSOMA ... MTIE MIMBA AZAE KISHA MWAKA WATATU ARUDI CHUO KUMALIAZIA.
MchepuuuuuuuuukoNina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
umekosea pa kushauri !!Hilo ndio tatizo, ok back to your thread fanya mpango uelewane na mkeo sio kutafuta mchepuko.
Sina hakika kama kweli unaomba ushauli, ninacho kiona hapa mchepuko unaupenda kinachokushnda wewe kwa sasa nimatumizi ,kwani sisi wanaume mwanamke ukikaa nae siku mbili tuu utajua huyu ni wamlengo gani? sasa wewe ndugu mpaka umempangia nyumba umenunua samani, huyo ni mke wefanya juu chini uhudumie kama zamani ukiona huwezi kaa nae chini mweleze, sina tena uwezo wa kukuhudumia tafuta mwenyewe, lakini mara ufunge nyumba mala samani za ndani, umesahau nawe ulikua unapewa bila mshariti unaburudika, aaa sasa vyako unataka kuvizuia huo ni utoto huna uwezo achia wenzako waendereze ulipo ishia wewe, nahii ndiyo dunia.Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Sasa wewe unataka kula tu hutaki kuliwa hata kidogo? Hilo haliwezekani mkuu 'jk voice'[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] .NAPINGA HOJA YAKO....JAMAA YUKO SAHIHI.
HUITAJI KUMWAMBIA MCHEPUKO JUU YA HALI HALISI YA UCHUMI WA SASA WA BWANA JPM...IKO WAZI MPAKA WATOTO WADOGO WANAJUA IWEJE YEYE AZIDIWE AKILI HATA NA WATOTO WA PRAIMARI?
MCHEPUKO APIGWE CHINI ATAFUTWE WA KUSOMA CHUO NADHANI ATATHAMINI MCHANGO WA SPONSOR WAKE NA KUMUHESHIMU KAMA HAHA YETU.
KUHUSU MKE KUWA MBALI ...BADO NAUNGA MKONO HOJA YA MLETA MADA KUCHEPUKA...HUWEZI KUKAA MWEZI MZIMA MAMA KASAFIRI WEWE HUGONGI,....KICHUPA KIMEJAA MWISHOWE UCHAFUE MASHUKA KWA KUJIPIGA MIBAO YA NDOTONI.
KUHUSU MIGOGORO NA MKE WA NDOA NADHANI HILI SUALA LIPELEKWE KWA MSHENGA AKISHINDWA PELEKA KWA WAZAZI WAKISHINDWA PELEKA KWA VIONGOZI WA DINI WAKISHINDWA TIMBA MAHAKAMANI FILE DIVORCE ACHANA NA MKEO RASMI KISHA OA MMOJA KATI YA MICHEPUKO YAKO....NASHAURI UOE HUYO WA CHUO MAANA UMEMGHARAMIA KUANZIA KUSOMA ... MTIE MIMBA AZAE KISHA MWAKA WATATU ARUDI CHUO KUMALIAZIA.
Correct, kwann unmyang'anye wakati na ww umemtumia? Wababa kuweni na huruma kisa wamama hawana jinsi ya kuwadai huduma zao walizowapa ndo muwaonee?amekutimizia ww mahitaji yako mara ngapi? Au ulikuwa unamhudumia bure huyo dadaako! BadilikaSina hakika kama kweli unaomba ushauli, ninacho kiona hapa mchepuko unaupenda kinachokushnda wewe kwa sasa nimatumizi ,kwani sisi wanaume mwanamke ukikaa nae siku mbili tuu utajua huyu ni wamlengo gani? sasa wewe ndugu mpaka umempangia nyumba umenunua samani, huyo ni mke wefanya juu chini uhudumie kama zamani ukiona huwezi kaa nae chini mweleze, sina tena uwezo wa kukuhudumia tafuta mwenyewe, lakini mara ufunge nyumba mala samani za ndani, umesahau nawe ulikua unapewa bila mshariti unaburudika, aaa sasa vyako unataka kuvizuia huo ni utoto huna uwezo achia wenzako waendereze ulipo ishia wewe, nahii ndiyo dunia.
Hapana hauko sahihi kabisa unamkosea mkeo tena ikiwezekana mtake radhi ata vitabu vya dini vimeandikaNina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Hapana hauko sahihi ongea vizur na mke wako ili mmalize tofauti zenu kabisa hiyo michepuko haifadhiliki kbs
Na bado utachunwaaaa mpaka useme pooo,bado utengeneze na mkeo hyo hela unayotupa kwa mchepuko si ungefanya kitu cha maana kwa kushirikiana na mkeo!!?I dont care maana hatuko vzr! Tumebaki kushirikiana kuhudumia watoto pekee