Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

mkuu angalia unavyorukaruka..... huyo anapenda your money, na kwa sbb wewe ni zoba,, akikohoa kdg unatoa,,, achana nae na usijaribu videm vya chuo pasua kichwa balaa..... tafuta angalau mjane....hahahaaaa au signle mom.....
 
Mjane[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Una roho nzuri sijapata onaa!karne hii? Unatunza mchepuko kwa adabu zote? Wala kwa Mungu huna dhambi ya kuchepuka kaka![emoji15]
 
We katili na wakati mwenyewe umejifanya una hela sasa kwanini usikanguliwe??mambo mengine mnajitakiaga tu we umejionesha unazo so nayeye anazipigia hesabu hizo hizo.
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Sasa wewe unalialia nini? wakati unasema wewe umemlipia kodi vimil kadhaaaaaaaaaaa...............................?
 
Haupo sahihi.huo ni udhalilishaji
Mwambie tu mambo hayapo vizuri pesa inasumbua kidogo nitakununulia siku nyingine iphone 7

NAPINGA HOJA YAKO....JAMAA YUKO SAHIHI.

HUITAJI KUMWAMBIA MCHEPUKO JUU YA HALI HALISI YA UCHUMI WA SASA WA BWANA JPM...IKO WAZI MPAKA WATOTO WADOGO WANAJUA IWEJE YEYE AZIDIWE AKILI HATA NA WATOTO WA PRAIMARI?
MCHEPUKO APIGWE CHINI ATAFUTWE WA KUSOMA CHUO NADHANI ATATHAMINI MCHANGO WA SPONSOR WAKE NA KUMUHESHIMU KAMA HAHA YETU.

KUHUSU MKE KUWA MBALI ...BADO NAUNGA MKONO HOJA YA MLETA MADA KUCHEPUKA...HUWEZI KUKAA MWEZI MZIMA MAMA KASAFIRI WEWE HUGONGI,....KICHUPA KIMEJAA MWISHOWE UCHAFUE MASHUKA KWA KUJIPIGA MIBAO YA NDOTONI.

KUHUSU MIGOGORO NA MKE WA NDOA NADHANI HILI SUALA LIPELEKWE KWA MSHENGA AKISHINDWA PELEKA KWA WAZAZI WAKISHINDWA PELEKA KWA VIONGOZI WA DINI WAKISHINDWA TIMBA MAHAKAMANI FILE DIVORCE ACHANA NA MKEO RASMI KISHA OA MMOJA KATI YA MICHEPUKO YAKO....NASHAURI UOE HUYO WA CHUO MAANA UMEMGHARAMIA KUANZIA KUSOMA ... MTIE MIMBA AZAE KISHA MWAKA WATATU ARUDI CHUO KUMALIAZIA.
 
[emoji13] [emoji13] aje kwangu mm mjane mm nataka nokia ya tochi basi
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Mchepuuuuuuuuuko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka...eti ukamchukue aliyekosa mkopo jmn
 
pole sana but mi naona wewe ndo umemwendekeza...Mtaftie hata source of income na yeye aitolee hela jasho kdgo..and talk to her..akikuacha sawa ila ukipata mwingne usikurupuke tu kumpa hela utamzoesha na mawazo yake yatakua tu kwenye pesa. cant judge anything about your marriage...ila kubadili line haisadii cuz atakutafta tu na kukubembeleza and zoezi litaendelea ya kuchunwa..
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Sina hakika kama kweli unaomba ushauli, ninacho kiona hapa mchepuko unaupenda kinachokushnda wewe kwa sasa nimatumizi ,kwani sisi wanaume mwanamke ukikaa nae siku mbili tuu utajua huyu ni wamlengo gani? sasa wewe ndugu mpaka umempangia nyumba umenunua samani, huyo ni mke wefanya juu chini uhudumie kama zamani ukiona huwezi kaa nae chini mweleze, sina tena uwezo wa kukuhudumia tafuta mwenyewe, lakini mara ufunge nyumba mala samani za ndani, umesahau nawe ulikua unapewa bila mshariti unaburudika, aaa sasa vyako unataka kuvizuia huo ni utoto huna uwezo achia wenzako waendereze ulipo ishia wewe, nahii ndiyo dunia.
 
wanaume wengi wanakuwa na viburi wakisha pata maendeleo na hela za kuwapa michepuka.hata wake zako wanawaona takataka.na kuwadharau.ila wako pata magojwa na wanaomba radhi .mungu akulaani
 
NAPINGA HOJA YAKO....JAMAA YUKO SAHIHI.

HUITAJI KUMWAMBIA MCHEPUKO JUU YA HALI HALISI YA UCHUMI WA SASA WA BWANA JPM...IKO WAZI MPAKA WATOTO WADOGO WANAJUA IWEJE YEYE AZIDIWE AKILI HATA NA WATOTO WA PRAIMARI?
MCHEPUKO APIGWE CHINI ATAFUTWE WA KUSOMA CHUO NADHANI ATATHAMINI MCHANGO WA SPONSOR WAKE NA KUMUHESHIMU KAMA HAHA YETU.

KUHUSU MKE KUWA MBALI ...BADO NAUNGA MKONO HOJA YA MLETA MADA KUCHEPUKA...HUWEZI KUKAA MWEZI MZIMA MAMA KASAFIRI WEWE HUGONGI,....KICHUPA KIMEJAA MWISHOWE UCHAFUE MASHUKA KWA KUJIPIGA MIBAO YA NDOTONI.

KUHUSU MIGOGORO NA MKE WA NDOA NADHANI HILI SUALA LIPELEKWE KWA MSHENGA AKISHINDWA PELEKA KWA WAZAZI WAKISHINDWA PELEKA KWA VIONGOZI WA DINI WAKISHINDWA TIMBA MAHAKAMANI FILE DIVORCE ACHANA NA MKEO RASMI KISHA OA MMOJA KATI YA MICHEPUKO YAKO....NASHAURI UOE HUYO WA CHUO MAANA UMEMGHARAMIA KUANZIA KUSOMA ... MTIE MIMBA AZAE KISHA MWAKA WATATU ARUDI CHUO KUMALIAZIA.
Sasa wewe unataka kula tu hutaki kuliwa hata kidogo? Hilo haliwezekani mkuu 'jk voice'[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] .
 
Sina hakika kama kweli unaomba ushauli, ninacho kiona hapa mchepuko unaupenda kinachokushnda wewe kwa sasa nimatumizi ,kwani sisi wanaume mwanamke ukikaa nae siku mbili tuu utajua huyu ni wamlengo gani? sasa wewe ndugu mpaka umempangia nyumba umenunua samani, huyo ni mke wefanya juu chini uhudumie kama zamani ukiona huwezi kaa nae chini mweleze, sina tena uwezo wa kukuhudumia tafuta mwenyewe, lakini mara ufunge nyumba mala samani za ndani, umesahau nawe ulikua unapewa bila mshariti unaburudika, aaa sasa vyako unataka kuvizuia huo ni utoto huna uwezo achia wenzako waendereze ulipo ishia wewe, nahii ndiyo dunia.
Correct, kwann unmyang'anye wakati na ww umemtumia? Wababa kuweni na huruma kisa wamama hawana jinsi ya kuwadai huduma zao walizowapa ndo muwaonee?amekutimizia ww mahitaji yako mara ngapi? Au ulikuwa unamhudumia bure huyo dadaako! Badilika
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Hapana hauko sahihi kabisa unamkosea mkeo tena ikiwezekana mtake radhi ata vitabu vya dini vimeandika

Hapana hauko sahihi ongea vizur na mke wako ili mmalize tofauti zenu kabisa hiyo michepuko haifadhiliki kbs
 
I dont care maana hatuko vzr! Tumebaki kushirikiana kuhudumia watoto pekee
Na bado utachunwaaaa mpaka useme pooo,bado utengeneze na mkeo hyo hela unayotupa kwa mchepuko si ungefanya kitu cha maana kwa kushirikiana na mkeo!!?
 
Back
Top Bottom