Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Acha binti wa watu ajenge jamani, hujui mafundi wanalipwa per day?
 
Watu wanasahau mchepuko ni kama changudoa tu yupo kazini na hio ni biashara unapewa papuchi unatoa hela.. Mchepuko anakaa kwa malengo sababu anajua mwisho wa siku ipo siku utarudi kwa mkeo unataka ukiondoka umuache mikono mitupu??. Unaenda kwa mchepuko unataka upewe starehe za bure wakati mke mwenyewe mahari ulimlipia. Starehe gharama ukishindwa baki njia kuu. Unapewa mambo hata mkeo haoni ndani unadhani ana volunteer? Umeshindwa kupanda dau muache aende zake usimchoshe. Hivi mchepuko akisema na yeye hatoi papuchi yake anaitunza hadi apate mume utaweza kumvumilia?? Yan mkifika mnapiga story unaenda kwako?? Ukiwa na mchepuko elewa ur position sio unakuja kujiliza jf
 
Na bado utachunwaaaa mpaka useme pooo,bado utengeneze na mkeo hyo hela unayotupa kwa mchepuko si ungefanya kitu cha maana kwa kushirikiana na mkeo!!?

Kuna watu watakuja kufa maskini eti unapata pesa. Baaada utengeneze future yako na familia yako unaendekeza tamaa za mwili. Naomba magufuli aendelee kubana pesa zaidi maana zilizopo baada ya kujenga familia zinaishia kwa michepuko. Ndio maana nawapenda sana wanaume wa kichaga huwezi mkuta mpuuzi kama mleta uzi.
 
Mchepuko uko kazini,hautakagi ujinga kabixa na huyu jamaa kasha kolea hachomoi ng'oo!kwa madenti ndo utaukumbuka mcheps!
 
Siyo kweli wote wanamazo ya kuwadhurumu wanaume laa shida nimoja tuu ivi mfano mtuanafedha mpaka anahisi mararia kukujengea nyumba, au pango ,au gari tatizo kwake haripo kwa nini asiwe na maamuzi magumu yeye mwenyewe mpaka aombe msaada kwa wengine, mungu hakukosea kukuumba mwanaume kua namaamuzi wewe kama wewe, kaa ukijua wanawake wote wananafanana, huduma unayopata nyumbani na kwa mchepuko ni hiyohiyo tuwatumieni vizuri tumepewa na mungu bule.
 

Hebu andika tena maana sijui umeongea lugha gani???. Au una maanisha nini? Ulimaliza japo darasa la saba? Samahani kwa kuuliza
 
Hii awamu ya tano mpaka kuja kuisha hii nchi itakuwa na machizi wengi kuliko nchi yoyote Duniani.
 
Hakuna mchepuko umewahi tokea na ukawa ni rahisi.lakini pia samaki mkunje kingali m'bichi,ukianza mahusiano na hawa wadada wa kisasa kwa matambo ya pesa na huduma moto moto watakumaliza ubaki mweupe,hawana huruma hao,ni kama askali vitani.mchepuko uache usikusome kama unacho au huna ili ujue kama kweli anakupenda kwa dhati.jambo lingine muhimu zaidi ni kubaki njia kuu au kua mwenyewe
 
teh teh teh

Nimefurahi tu hapo mwishoni ulipomalizia kuwa utaibuka chuoni kutafuta vitoto vizuri vilivyokosa mkopo.
 
Hebu andika tena maana sijui umeongea lugha gani???. Au una maanisha nini? Ulimaliza japo darasa la saba? Samahani kwa kuuliza
umesema vema sasa hapo sikakuerewa, anaeruhusiwa kuchangia hoja hii ni wakiwango gani cha elimu?nilichotaka ujue wanawake wanatoa huduma sawa kwa wanaume, awe wanyumbani au barabarani hivyo sisi wanaume tuwatumie vizuri.
 
Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Hatuwez kusuruhishwa maana kila mmoja anajiona anaweza ishi bila mwenzake na vyeo anavyopanda ndo vinampa kibur zaid acha tuish hivi hivi na sina mpango wa kuoa tena
Daah hiyo jeuri na vyeo vinapanda kwa kasi ..anaweza kuwa chakula ya bosi.
 
Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Inabidi hapo iendane na wakati sio nafsi yake tena bali litakalomwangamiza mfuko wake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Reactions: mij
Utaahira wako ndo unakusumbua kwa kudhan kila mtu ni maskini kama baba yako au kila mtu hajajitengenezea future/ ukiona mtu anaanza kugawa ujue kasaza pimbi wewe
 
Utaahira wako ndo unakusumbua kwa kudhan kila mtu ni maskini kama baba yako au kila mtu hajajitengenezea future/ ukiona mtu anaanza kugawa ujue kasaza pimbi wewe

We fala nini acha kufananisha Mzazi wangu na vitu vya kipuuzi.. Kama unagawa si ukagawe huko kila tobo basi ni nini kuja kutusumbua watu wazima humu. Shubaamiti [emoji35][emoji35]
 
Usifanye hivo wala kumdhalilisha kama unamuacha muache kwa amani kwani haina haja ya kufanya hivo Sana na hali ilivo ngumu basi uje kwangu na mie unilipie Kodi

Hana lolote huyo ukiona hivyo pendo lake limeshuka ndio maana kununua simu anaona hela ni nyingi. Mbona kodi ullilipa hukulia? kanunue bana au mwambie zinalipukaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…