Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapasuka msamba.Sasa wewe unataka kula tu hutaki kuliwa hata kidogo? Hilo haliwezekani mkuu 'jk voice'[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] .
Na bado utachunwaaaa mpaka useme pooo,bado utengeneze na mkeo hyo hela unayotupa kwa mchepuko si ungefanya kitu cha maana kwa kushirikiana na mkeo!!?
Mchepuko uko kazini,hautakagi ujinga kabixa na huyu jamaa kasha kolea hachomoi ng'oo!kwa madenti ndo utaukumbuka mcheps!Watu wanasahau mchepuko ni kama changudoa tu yupo kazini na hio ni biashara unapewa papuchi unatoa hela.. Mchepuko anakaa kwa malengo sababu anajua mwisho wa siku ipo siku utarudi kwa mkeo unataka ukiondoka umuache mikono mitupu??. Unaenda kwa mchepuko unataka upewe starehe za bure wakati mke mwenyewe mahari ulimlipia. Starehe gharama ukishindwa baki njia kuu. Unapewa mambo hata mkeo haoni ndani unadhani ana volunteer? Umeshindwa kupanda dau muache aende zake usimchoshe. Hivi mchepuko akisema na yeye hatoi papuchi yake anaitunza hadi apate mume utaweza kumvumilia?? Yan mkifika mnapiga story unaenda kwako?? Ukiwa na mchepuko elewa ur position sio unakuja kujiliza jf
Siyo kweli wote wanamazo ya kuwadhurumu wanaume laa shida nimoja tuu ivi mfano mtuanafedha mpaka anahisi mararia kukujengea nyumba, au pango ,au gari tatizo kwake haripo kwa nini asiwe na maamuzi magumu yeye mwenyewe mpaka aombe msaada kwa wengine, mungu hakukosea kukuumba mwanaume kua namaamuzi wewe kama wewe, kaa ukijua wanawake wote wananafanana, huduma unayopata nyumbani na kwa mchepuko ni hiyohiyo tuwatumieni vizuri tumepewa na mungu bule.Watu wanasahau mchepuko ni kama changudoa tu yupo kazini na hio ni biashara unapewa papuchi unatoa hela.. Mchepuko anakaa kwa malengo sababu anajua mwisho wa siku ipo siku utarudi kwa mkeo unataka ukiondoka umuache mikono mitupu??. Unaenda kwa mchepuko unataka upewe starehe za bure wakati mke mwenyewe mahari ulimlipia. Starehe gharama ukishindwa baki njia kuu. Unapewa mambo hata mkeo haoni ndani unadhani ana volunteer? Umeshindwa kupanda dau muache aende zake usimchoshe. Hivi mchepuko akisema na yeye hatoi papuchi yake anaitunza hadi apate mume utaweza kumvumilia?? Yan mkifika mnapiga story unaenda kwako?? Ukiwa na mchepuko elewa ur position sio unakuja kujiliza jf
Siyo kweli wote wanamazo ya kuwadhurumu wanaume laa shida nimoja tuu ivi mfano mtuanafedha mpaka anahisi mararia kukujengea nyumba, au pango ,au gari tatizo kwake haripo kwa nini asiwe na maamuzi magumu yeye mwenyewe mpaka aombe msaada kwa wengine, mungu hakukosea kukuumba mwanaume kua namaamuzi wewe kama wewe, kaa ukijua wanawake wote wananafanana, huduma unayopata nyumbani na kwa mchepuko ni hiyohiyo tuwatumieni vizuri tumepewa na mungu bule.
Umepata competitor na saiv market haiko poa maana kama mleta mada anavyosema JPM analipa madeni tuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna mchepuko umewahi tokea na ukawa ni rahisi.lakini pia samaki mkunje kingali m'bichi,ukianza mahusiano na hawa wadada wa kisasa kwa matambo ya pesa na huduma moto moto watakumaliza ubaki mweupe,hawana huruma hao,ni kama askali vitani.mchepuko uache usikusome kama unacho au huna ili ujue kama kweli anakupenda kwa dhati.jambo lingine muhimu zaidi ni kubaki njia kuu au kua mwenyeweNina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe
Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine
Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??
Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa
Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!
Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye
Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote
Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu
Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze
Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani
Je niko sahihi?
Kwa sasa takwimu inasema kila waTz wanne, mmoja ni chizi na Dar ndo mkoa unaoongoza sababy ta population.Hii awamu ya tano mpaka kuja kuisha hii nchi itakuwa na machizi wengi kuliko nchi yoyote Duniani.
umesema vema sasa hapo sikakuerewa, anaeruhusiwa kuchangia hoja hii ni wakiwango gani cha elimu?nilichotaka ujue wanawake wanatoa huduma sawa kwa wanaume, awe wanyumbani au barabarani hivyo sisi wanaume tuwatumie vizuri.Hebu andika tena maana sijui umeongea lugha gani???. Au una maanisha nini? Ulimaliza japo darasa la saba? Samahani kwa kuuliza
Daah hiyo jeuri na vyeo vinapanda kwa kasi ..anaweza kuwa chakula ya bosi.Hatuwez kusuruhishwa maana kila mmoja anajiona anaweza ishi bila mwenzake na vyeo anavyopanda ndo vinampa kibur zaid acha tuish hivi hivi na sina mpango wa kuoa tena
Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Utaahira wako ndo unakusumbua kwa kudhan kila mtu ni maskini kama baba yako au kila mtu hajajitengenezea future/ ukiona mtu anaanza kugawa ujue kasaza pimbi weweKuna watu watakuja kufa maskini eti unapata pesa. Baaada utengeneze future yako na familia yako unaendekeza tamaa za mwili. Naomba magufuli aendelee kubana pesa zaidi maana zilizopo baada ya kujenga familia zinaishia kwa michepuko. Ndio maana nawapenda sana wanaume wa kichaga huwezi mkuta mpuuzi kama mleta uzi.
Utaahira wako ndo unakusumbua kwa kudhan kila mtu ni maskini kama baba yako au kila mtu hajajitengenezea future/ ukiona mtu anaanza kugawa ujue kasaza pimbi wewe
Usifanye hivo wala kumdhalilisha kama unamuacha muache kwa amani kwani haina haja ya kufanya hivo Sana na hali ilivo ngumu basi uje kwangu na mie unilipie Kodi