Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

We fala nini acha kufananisha Mzazi wangu na vitu vya kipuuzi.. Kama unagawa si ukagawe huko kila tobo basi ni nini kuja kutusumbua watu wazima humu. Shubaamiti [emoji35][emoji35]
Fala wewe na mzazi wako mnaoona kuhonga ni kujipa umaskin mpuuzi mmoja wewe
 
Huyo mpya aliyekosa boom utakuta washaisafisha hiyo nyumba kwa kushirikiana na msela wake
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Huyo piga chini haraka sana
Halafu chukua wa chuo mkali aliyekosa mkopo aisee utafaidi ila angalia asikunyonye sana maana anaweza akataka kila kitu kudadekiiii[emoji2] [emoji2]
 
Kweli wewe ni baba yenu..... Huyo mchepuko alikufanya kama baba yake anataka kila kitu.
 
Uko sahihi 100%, vinginevyo isingekuwa sahihi usingekuwa na mchepuko ungekomaa na mkeo!
 
Back
Top Bottom