Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Habari zenu wana jamiiforums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninaishi Ushirombo Geita Tanzania, Tatizo langu ni kwamba nikivuta pumzi ndani nahisi kuna kitu kinabana na nikirudisha pumzi nje kinapoa ni kwenye upande wa ubavu wangu kushoto mwishoni wa mbavu.
Na sijui ni nini kinanisumbua Tafadhalini naombeni msaada wenu nijue nini kinanisumbua na matibabu yake ni yapi.