Nikipumua naumia

Nikipumua naumia

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Habari zenu wana jamiiforums,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninaishi Ushirombo Geita Tanzania, Tatizo langu ni kwamba nikivuta pumzi ndani nahisi kuna kitu kinabana na nikirudisha pumzi nje kinapoa ni kwenye upande wa ubavu wangu kushoto mwishoni wa mbavu.

Na sijui ni nini kinanisumbua Tafadhalini naombeni msaada wenu nijue nini kinanisumbua na matibabu yake ni yapi.
 
Pole sana kijana naamini MUNGU atakusaidia tatizo litakwisha......ndugu yangu MziziMkavu unahitajika huku haraka sana.........
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kupima vidonda vya tumbo na mimi nilikuwa najisikia hivyo kupima ni deudonal ulcers
 
inawezekana utakuwa na arthma sasa mapafu yanashidwa.fanya kazi vzuri pia yanauma kwa sababu inawezekaba pleura fluid inazalishwa kwa uchache hvyo kusababsha friction katika mapafu au inawezekana intercostal muscles za mapafu zina tatizo
 
Back
Top Bottom