Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Hii movie inapo elekea itachezwa kwa panga na mishale.
Hamna muislam mwenye akili timamu anaewaunga mkono Bakwata.Hii movie inapo elekea itachezwa kwa panga na mishale.
Mjomba angu mmoja kaingia mtego wa dini, nime muambia hii haina uislam waka ukristu hapa tuna pambania haki zetu.Hamna muislam mwenye akili timamu anaewaunga mkono Basata.
Juzi kati kijiweni kuna ostaz alikua anadai wakristo hawamtaki mama na chuki za namna hiyo, akaja muislam mwenzie kumpinga waziwazi na kuwakandia bakwata. Ostazi akabaki mdogo maana alizidiwa hoja kabisa.
Naona ccm wanataka kuhamisha huo mjadala.Mjomba angu mmoja kaingia mtego wa dini, nime muambia hii haina uislam waka ukristu hapa tuna pambania haki zetu.
kaka 007 si uruke na huyo haji maana ana maliza wadauNaona ccm wanataka kuhamisha huo mjadala.
Na uzuri ni kua wananchi wengi wamewashtukia hao viongozi wa dini.
Baadhi wa misikiti wamewaambia waumin wao december 9 wasiende kuswali msikitini waswalie nyumbani, wengi wamekasirishwa na hilo maana liko nje ya taratibu zao.
HahahaSheikh Abdul wa parokia ya mtume maria wa makha
Nawasalimu Bismillah wapendwa
Mi nina mpango kabambe, ni kuwala vichwa.kaka 007 si uruke na huyo haji maana ana maliza wadau