Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Ongozeni nyumba zenu vizuri..
 
Mwanamke anayejitambua hushauriana na mumewe kabla ya kesho. Bajeti ya chakula cha kesho hujadiliwa leo.
 
Tatizo unamchekea sasa ashakuona wewe na yeye mko levo moja.
 
Mkuu,ni kweli inaumiza/kuudhi lkn sometime Wanawake wanakuwa wamebanwa na shughuli nyingi mno, ukitaka kulijua hilo hebu jaribu kuachiwa nyumba siku moja uone muziki wake.Wanawake ni Multifunctioning Organisms.
Kwakweli wanawake tunachoka nyie acheni
 
Mpe talaka 3.. ya kwake, mamaake na babaake..
 
Huna upendo, siku ingine unakaa na mkeo mnapika huku mnapiga story[emoji847]
 
Kuna mzee mmoja alinipa trick ya mwanamke kuhusu mambo ya misosi hasa ya usiku, unavyorudi home hakikisha umegonga msosi kabisa muda msosi wa home unagusa tu maana hao viumbe usipo jielewa utalala njaa sana unatoka kazini anaeza kukukera ukajikuta umepitliza kulala na cha ajabu gemu anataka kama kawaida.
 
Inaonekana unaingilia sana idara ya mama ndo mana kakususia, Sasa ukifanya yote hayo petty cash atapata wapi,acha kumdekeza wee nunua vyakula vikavu yeye mwachie Hela ya mboga mboga
 
ndo walivyo hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…