Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
[emoji114][emoji2969]

Ni mwanaume asiyejielewa pekee anaweza kuanika udhaifu wa mke wake mtandaoni

Tujifunze, siri za ndani hazifai hata kufika sebuleni, tuzimalize ndani kwa ndani

Wanawake ni waelewa sana ukienda nao kwanza kwa kuwatibu kisaikolojia. Nenda nae taratibu, mweleweshe atakuelewa. Yamkini tabia hii alijijengea mwanzo mlipooana/kuanza kuishi pamoja na hukuikemea, akachukulia kama ndo lifestyle unayopendezwa nayo

Jifunze ulikosea wapi, then rekebisha makosa yako/Yenu

Tena hapa kwa sababu tupo mwisho wa mwaka, pangeni pamoja mipango yenu ya mwaka kesho, na hilo liwe moja ya ajenda yenu

Ova
 
[emoji1787][emoji1787] hivi mbona mnatutisha ambao hatujaoa! Kumbe hizo ndo kila rangi mnazoona..!! Dah! Maisha haya hatari sana.
We chukua jiko usiogope ni kawaida tu kuvumiliana
 
Enzi za shule uteseke kama hivyo unarudi zako shule unanjaa unapita jikoni unakuta hakuna dalili ya kuni kupasuliwa na majivu yamepoa kabisa, ukiuliza una ambiwa hapa ni kwako! 😀😀😀

Halafu kwenye ndoa unakutana na same experience!
 
Ni mwanaume asiyejielewa pekee anaweza kuanika udhaifu wa mke wake mtandaoni

Tujifunze, siri za ndani hazifai hata kufika sebuleni, tuzimalize ndani kwa ndani

Wanawake ni waelewa sana ukienda nao kwanza kwa kuwatibu kisaikolojia. Nenda nae taratibu, mweleweshe atakuelewa. Yamkini tabia hii alijijengea mwanzo mlipooana/kuanza kuishi pamoja na hukuikemea, akachukulia kama ndo lifestyle unayopendezwa nayo

Jifunze ulikosea wapi, then rekebisha makosa yako/Yenu

Tena hapa kwa sababu tupo mwisho wa mwaka, pangeni pamoja mipango yenu ya mwaka kesho, na hilo liwe moja ya ajenda yenu

Ova
Kwani ametaja jina lake hapo. Yani ndio maana waume zenu wanachepuka. Ndoa zimewashinda japo mko ndani ya nyumba
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unataman ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakin ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawil mbele dah!
Mapenzi yanamaana pana Sana,Je umeshawahi kumwambia kuwa hupendi anavyochelewa kupika? Hana mtoto mdogo anaesumbua?
 
bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
[emoji114][emoji2969]
Tengenezeni ratiba muibandike ukutani jikoni inasaidia sana
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unataman ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakin ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawil mbele dah!
Mkuu mzoea unayaweka wewe,, weka sheria mkuu Kama unatoka kazini target yako nyumbani ufike saa mbili usiku,, inabidi uweke sheria kuwa ikifika saa mbili kamili unataka chakula kiwepo mezani hivyo yaani maana bila sheria hawawatu saingine wanajifanya filamu ni ya muhimu kuliko Mume
 
bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
[emoji114][emoji2969]
Duh pole Sana kumbe watu wana changamoto katika majumba yao ila wanaume bwana tuna Siri sana
 
Mkuu mzoea unayaweka wewe,, weka sheria mkuu Kama unatoka kazini target yako nyumbani ufike saa mbili usiku,, inabidi uweke sheria kuwa ikifika saa mbili kamili unataka chakula kiwepo mezani hivyo yaani maana bila sheria hawawatu saingine wanajifanya filamu ni ya muhimu kuliko Mume
Wengine wanapenda kuolewa ila kupika kwao nimtihani Sana,
 
Huaga siamini haya niyaskiayo, yaan mtu ameshnda home tangu kumekucha na haumw lkn hapiki mpka unaporudi!? Inashangaza mnooo, sjawah kuliamini hili swala. Na pesa ya chakula umetoa na bado mtu hapiki............mnawapataga wap hao wake zenu 🤔🤔🤔🤔​
 
Back
Top Bottom