Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii sasa ndio Roho Mbaya.....ni Tabia za Uchoyo tu sio kwamba hupendi.Sipendi kufikia Kwa MTU Kwa sababu binafsi sipendi wageni maswala ya kutembeleana ovyo ovyo Kwangu mwiko aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sasa ndio Roho Mbaya.....ni Tabia za Uchoyo tu sio kwamba hupendi.Sipendi kufikia Kwa MTU Kwa sababu binafsi sipendi wageni maswala ya kutembeleana ovyo ovyo Kwangu mwiko aisee
Huo ni ukweli mkubwa sana.Tatizo wengi wenu mmepanga,hivyo mnaogopa ndugu yako au rafiki akifikia kwako itakuwaje!.
Ukiwa na nyumba kubwa mbona fresh tu,mgeni anakuja kwako inabidi na wewe ubadirike,kinachofanya wengi muwachukie wageni ni UCHOYO & UBINAFSI!
Ndivyo inavyotakiwaFikia nyumba ya kulala wageni,
Fanya issue zako
Maliza rudi ulikotoka
Unakua huru 99.99%
We si certified Accountant mkuu???Hata kijijini kwetu niliamua kujenga geto kwa sababu ya kukosa uhuru nikifikia kwa mama. Attention kibao ndugu kuja kuniona. Heshima kibao kumbe mwenyewe msela tu nashinda JF
Nikafikia kwa ndugu yangu, picha linaanza siku ya kwanza nyumba nzima wamefunga(fasting)namimi wanataka nifunge nikawakubalia kishingo upande.Kufikia kwa watu keroooooo
Hii ni bonge ya FACT mkuu, naunga mkono hoja!Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza kuonana sehemu Nyingine, ama nikaensa tu chap kuwasalimia na kuondoka bila kulala, kwangu mimi huwa naona kufikia kwa mtu kuna.
Mambo yafuatayo:
1. Unafikia kwa mtu lets say ni dar, wewe unashuka stand Mbezi lakini Yeye anaishi mbagala, huoni kama huu ni usumbufu na hakuna unachosave? Imagine umeingia dar saa 6 usiku uanze tena kukimbizana kwenda mbagala, ambapo ukifika tena unaambiwa umpe simu boda, halafu kesho yake issue zako unafanyia posta au k.koo.
2. Sio kila mazingira anayoishi mtu yatakufavor na wewe, unakuta unafikia kwa mtu inabidi sasa wagawe sebule iwe chumba kushoto na kulia ni chumbani kwao ni USUMBUFU.
3. ratiba ya kulala, kula na mambo yako inakuwa chini ya maamuzi ya mwenyeji wako, plus utakula nini na utakunywa nini?
4. Uaamka asubuhi unaulizia pasi unyooshe shati lako, mwenyeji hana pasi, au unakuta kuna bonge la joto na yeye hana hata feni.
5. Kuna hali fulani inakuwa inakufanya usijiamini, mfano inakulazimu unaporudi pale ulipofikia uwaze kupitia japo ka zawadi au kitu chochote kuwapelekea na unakuwa huna maamuzi na ratiba zako.
Kimsingi nadhani inapendeza kama unasafiri utafute tu altenative utafte hotel ama lodge kama Hali yako ni mbaya Kifedha.. hayo niliyoyataja hapo juu niliwahi kuyapitia ndio maana sitamani tena kufikia kwa mtu labda niwe nimekwama sana 100%
Toa maoni yako kuhusu hili, na ilikuwaje uliposafiri na kufikia/kukaa kwa rafiki au Ndugu?
🤣🤣🤣 Aisee nimecheka sana!Niliwahi kwenda mkoa fulani nikamtaarifu ndugu yangu kuwa nitakuwa huo.....akanisihi sana nifikie kwake....nikaona haina shida......aisee nilijuta ule uamuzi........
Nilikuwa najiweza hata kukaa hotel lakini nikasema nisimkwaze ndugu yangu.....
Nafika pale mapema kidogo tunapiga Stori za hapa na pale muda wa kulala napelekwa chumba cha watoto na humo kuna watoto kama wanne na wawili natakiwa kulala nao......
Vyakula sasa ndio adhabu......nilikuwa kila asubuhi nikienda kwenye mambo yangu namuachia jamaa kiasi cha pesa ili aongezee kwenye bajeti yao ili tufurahie maisha..... lakini matokeo yake mkewe anatulisha vitu vya ajabu......
Kila siku ugomvi na mkewe mimi ndio muamuzi....muda mwingine ugomvi ukizidi hakupikwi......
Nilikaa pale kama wiki hivi niliona kama nimekaa mwezi........
Kwa sifikirii tena kufikia kwa mtu nikisafiri.......
Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza kuonana sehemu Nyingine, ama nikaensa tu chap kuwasalimia na kuondoka bila kulala, kwangu mimi huwa naona kufikia kwa mtu kuna.