Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

Haya mambo ni kawaida, na commonsense
Ukiwa na pesa utafikia hoteli za hadhi, ukiwa mnyonge ndio itapidi ukajibane kwa jamaa japo wao na wewe unajua ni shida tupu kwenu wote
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
kufikia KWA WATU ni gharama sana
 
pia unaweza kufikia kwa mchepuko ukaishi kifalme km azampesa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha,kwa hiyo walikua hawagombanii chumbani kwao?Pole.
 
Angalau wewe una sababu za msingi.
 
Watanzania kwanini hatupendi kuficha aibu zetu au ni kutojali na kukosa busara.

Mtu unajua una matatizo nyumbani unakaribisha wageni wa nini?

Tangu enzi za Musa na Ibrahimu Mgeni anakarimiwa sio tu kwa chakula kizuri bali mazingira, maneno na maelewano ya amani.

Sasa unajua kabisa wewe na Mke wako ni Chui na paka. Nafasi ya kulala huna unamkaribisha mtu wa nini?

Mbona mimi nilikaa miaka kibao sijawahi karibisha hata ndugu( sitaki maneno maneno mara ooh anajifanya mjanja) na nikaishi kwa uhuru na raha hadi nilipojipata.

Mke pia anatakiwa kulinda heshima ya Nyumba( familia) hata kama kuna maugomvi una nyuti mbele za wageni.
 
Mimi Huwa sipendi kushikuru yaani umetoka kuoga Asante,umekula Asante,umetoka chooni Asante, sipendi
Wewe una shukuru Moyoni? Hata Mungy huwezi kumshukuru Moyoni akakubali sembuse binadamu.

Mungu lazima ukiri kwa kinywa chako hakuna kushukuru moyoni wewe huna roho ya shukrani yaani Huridhiki😂😂
 
nitafikia kwa ndugu au rafiki kikubwa awe mpiga k-vant mwenzangu tena yeye na mke wake ili twende sawa
 
Dah!
Yaani ndugu we Acha tu...... ilikuwa mpaka muda mwingine nachelewa kurudi ili niepuke ile aibu......
 
We kama mimi tu.hua nakua unconfortable na mazingira mapya sana.halafu napenda ya uhuru binafsi
 
"Nilishafukuzwa na ndugu kosa ilikuwa kusahau kusuuza sahani" - Fid Q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…