Nikisema Man City wapewe kombe lao sidhani kama ntakua wrong.

Nikisema Man City wapewe kombe lao sidhani kama ntakua wrong.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kuna hatari ya timu ya mancity mpaka mwisho wa msimu wasiwe wamepoteza mchezo wowote wa ligi kuu pale kwa malkia na sio mbaya tukisema jamaa wapewe kombe lao mapema tu.

Man city wanauchezea mpira na mpira unawachezea wao wachezaji dakika 90 wanakimbizana na mpira wanaonyesha kuna kitu wanakitafuta wanatafuta matokeo na sio kingine wachezaji wana team work wanajituma sana unamuona mtu kama Raheem Sterling anakimbia dakika zote za mchezo sio kitu cha kawaida wachezaji wa Malkia wanahulka ya Kiuvivu flani ila Pep kawashika pabaya ukileta ujinga unakalia benchi mpaka ujute.

Pep Guardiola kaja kuwaonyesha Baadhi ya Makocha na Wachezaji kuwa hakuna linaloshindikana kwenye mpira ukiweka mbali Uvivu na kutojituma wachezaji wa Kiingereza wanakatabia cha kujisikia na kutojituma na kujiona wao bora na kiburi ukiangalia kikosi cha Mancity Mwingereza mwenye uhakika wa kupata namba ni raheem Sterling baada ya kuonyesha bidii na Beki Stones wengine ni wachezaji wa mataifa mengine hakuna aliyetegemea Yahaya Toure atachezea benchi la kudumu na kuwa mpenzi mtazamaji tu.

Itakua ngumu sana kina Conte,Wenger,Jose,Pochetino,Moyes,Klop na makocha wengine kumpindua Pepe Guardiola wale wataalamu wa hesabu hasa Probability ukitoss Coin ni Mancity tu ndo bingwa msimu huu.

#mudanirafikimzuri#
 
Anataka ikifika february atangaze ubingwa EPL nguvu kubwa ihamie UEFA

Malengo nikuchukua ndoo zaidi ya tatu msimu huu
 
Kwa msimu huu hana mpinzani, ila nna mashaka na ubora wao huu kama utadumu, timu inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo mazuri, wanaweza kua ivyo si zaidi ya misimu miwili, angalia matokeo ya Madrid kwa sasa utagundua hilo.
 
daah gape ni kubwa sanaa sizani kama kuna wa kumkamata saivi si man u , liver, wala chelsea
 
Kuna hatari ya timu ya mancity mpaka mwisho wa msimu wasiwe wamepoteza mchezo wowote wa ligi kuu pale kwa malkia na sio mbaya tukisema jamaa wapewe kombe lao mapema tu.

Man city wanauchezea mpira na mpira unawachezea wao wachezaji dakika 90 wanakimbizana na mpira wanaonyesha kuna kitu wanakitafuta wanatafuta matokeo na sio kingine wachezaji wana team work wanajituma sana unamuona mtu kama Raheem Sterling anakimbia dakika zote za mchezo sio kitu cha kawaida wachezaji wa Malkia wanahulka ya Kiuvivu flani ila Pep kawashika pabaya ukileta ujinga unakalia benchi mpaka ujute.

Pep Guardiola kaja kuwaonyesha Baadhi ya Makocha na Wachezaji kuwa hakuna linaloshindikana kwenye mpira ukiweka mbali Uvivu na kutojituma wachezaji wa Kiingereza wanakatabia cha kujisikia na kutojituma na kujiona wao bora na kiburi ukiangalia kikosi cha Mancity Mwingereza mwenye uhakika wa kupata namba ni raheem Sterling baada ya kuonyesha bidii na Beki Stones wengine ni wachezaji wa mataifa mengine hakuna aliyetegemea Yahaya Toure atachezea benchi la kudumu na kuwa mpenzi mtazamaji tu.

Itakua ngumu sana kina Conte,Wenger,Jose,Pochetino,Moyes,Klop na makocha wengine kumpindua Pepe Guardiola wale wataalamu wa hesabu hasa Probability ukitoss Coin ni Mancity tu ndo bingwa msimu huu.

#mudanirafikimzuri#
Kwan zmebaki mechi ngap? Na unajuaje kama hatapata majeruhi
 
Kwa msimu huu hana mpinzani, ila nna mashaka na ubora wao huu kama utadumu, timu inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo mazuri, wanaweza kua ivyo si zaidi ya misimu miwili, angalia matokeo ya Madrid kwa sasa utagundua hilo.

Kaka naomba niwe tofaut na ww...madrid kilichowakost ni kwamba hawana squard rotation wachezaji lazma tu wachoke unapokuja msimu ujao. Timu ambayo inaongoza kwa rotation uingereza ni city na ndio maana ktk squard yao wachezaji watatu ndio hawajafunga. Bravo, yule kipa wao mbrazil namba moja pamoja na walker. The rest wana goli walau moja. First eleven yao ukimtoa Debruine na Fernandinho wengne wote wanapokezana kila mechi. Madrid misimu miwili toka ameichukua zizou first eleven ilikua unajua pale kati kroose, casemiro na modrick. Kule mbele ronaldo, benzema na bale. Wamecheza hvyo for mechi nyingi sana na walikua wanapata matokeo which is pretty good. So kwa msimu ujao labda watu wawajulie mbinu nyingine ila sio kwa kuchoka. By the way wataongeza watu january na june. Madrid hajasajili ndio factor nyingne inayomponza.
 
Kwa msimu huu hana mpinzani, ila nna mashaka na ubora wao huu kama utadumu, timu inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo mazuri, wanaweza kua ivyo si zaidi ya misimu miwili, angalia matokeo ya Madrid kwa sasa utagundua hilo.
Nafikiri atazidi kusajili wachezaji wazuri zaidi.
 
Jamaa wamefanya mabadiliko kwenye mchezo wa PL kwa kusajili mabeki kwa gharama kubwa kama za washambuliaji.
 
Mm kuna vitu vitatu wananifurahisha Man City.
1.Hakuna mfungaji maalum,magoli yao yanaweza kutokea eneo lolote la uwanja na mfungaji akawa ni mchezaji yoyote.
2.Huwezi kuwagundua kama wanacheza ugenini au nyumbani.Kote mpira wao ni wa akili na kushambulia
3.Hawabweteki na idadi ya magoli.Wanaweza kuwa wanaongoza goli 4-0 hata ugenini lakini bado wanashambulia kuongeza magoli mengine.Hawana muda wa kuweka basi.
 
Naunga mkono hoja wapewe tu mzunguko wa pili ndio huku naona wakiendelea kutakata
 
Halafu kunawachezaji wana akili kule...acha kabisa. Vincent Kompany apata shahada ya pili ya usimamizi wa Biashara.
Vincent Kompany is preparing for life after football with impressive achievement
-----------
Manchester City captain Vincent Kompany has graduated from Alliance Manchester Business School with a Master's in Business Administration (MBA).

It appears that the Belgian powerhouse's ability in the air isn't the only way that he puts good use to his head, having graduated from the University of Manchester with a Merit grad - following his 72 mark dissertation project which looked at the advantage of home football matches giving players an improved level of performance.
===
Nategemea Samatta naye akipata nafasi arudi na shahada, vivo hivyo na kwa wachezaji wote wa soka hapa nchini.
 
Back
Top Bottom