bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kuna hatari ya timu ya mancity mpaka mwisho wa msimu wasiwe wamepoteza mchezo wowote wa ligi kuu pale kwa malkia na sio mbaya tukisema jamaa wapewe kombe lao mapema tu.
Man city wanauchezea mpira na mpira unawachezea wao wachezaji dakika 90 wanakimbizana na mpira wanaonyesha kuna kitu wanakitafuta wanatafuta matokeo na sio kingine wachezaji wana team work wanajituma sana unamuona mtu kama Raheem Sterling anakimbia dakika zote za mchezo sio kitu cha kawaida wachezaji wa Malkia wanahulka ya Kiuvivu flani ila Pep kawashika pabaya ukileta ujinga unakalia benchi mpaka ujute.
Pep Guardiola kaja kuwaonyesha Baadhi ya Makocha na Wachezaji kuwa hakuna linaloshindikana kwenye mpira ukiweka mbali Uvivu na kutojituma wachezaji wa Kiingereza wanakatabia cha kujisikia na kutojituma na kujiona wao bora na kiburi ukiangalia kikosi cha Mancity Mwingereza mwenye uhakika wa kupata namba ni raheem Sterling baada ya kuonyesha bidii na Beki Stones wengine ni wachezaji wa mataifa mengine hakuna aliyetegemea Yahaya Toure atachezea benchi la kudumu na kuwa mpenzi mtazamaji tu.
Itakua ngumu sana kina Conte,Wenger,Jose,Pochetino,Moyes,Klop na makocha wengine kumpindua Pepe Guardiola wale wataalamu wa hesabu hasa Probability ukitoss Coin ni Mancity tu ndo bingwa msimu huu.
#mudanirafikimzuri#