GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC.
Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha Kuonyesha kuwa Simba SC haina tu shida kwa upande wa Wachezaji walionao kwa sasa ( wa hovyo hovyo ) lakini pia hata Uongozi wa Simba SC nao pia ni wa hovyo hovyo.
Timu inayojitambua kamwe haiwezi kuwa na Upuuzi na Uhuni wa aina hii hasa katika Karne hii ya Kimaendeleo na inayohitaji Umakini na Uweledi wa Kiutendaji.
Ukiona GENTAMYCINE nakusema au nakusakama sana jua nimeshakuona una matatizo, uswahili na hata Upumbavu ( Upopoma ) mwingi tu.
Imeisha hiyo.....!!