socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 433
Kiukweli niko kwenye mahusiano serious na mwanamke mmoja ambaye ni mzuri sana tuu lakini pia kuna michepuko ambayo nayo ni pisi kali.
Ishu ni kwamba huwa kuna vibinti vya kawaida tuu tena sana lakini baadhi wa wanaume ukishaanza kukatania kwa nia ya kukala basi mzuka unaongezeka na utafanya juu chini mpaka unakagonga.
Ila baada ya lile tendo unakuta huna hata hamu ya kukajulia hali labda yeye ndio awe anakutafuta.
Hii inanitokea mara nyingi sana.