Nikishafanya ngono na mwanamke hamu ya kuendeleza mahusiano inakatika

Nikishafanya ngono na mwanamke hamu ya kuendeleza mahusiano inakatika

Nimewasoma wote, ila professionals hawazidi watatu.
 
Kiukweli niko kwenye mahusiano serious na mwanamke mmoja ambaye ni mzuri sana tuu lakini pia kuna michepuko ambayo nayo ni pisi kali.

Ishu ni kwamba huwa kuna vibinti vya kawaida tuu tena sana lakini baadhi wa wanaume ukishaanza kukatania kwa nia ya kukala basi mzuka unaongezeka na utafanya juu chini mpaka unakagonga.

Ila baada ya lile tendo unakuta huna hata hamu ya kukajulia hali labda yeye ndio awe anakutafuta.

Hii inanitokea mara nyingi sana.
Tuko wengi ,si bora wewe hata unafanya kabisa,mimi nikiwa naenda kufanya nikaona demu mkali kuliko niliyempanga huwa hamu inakata na naleta excuse afu nampotezea.
 
Back
Top Bottom