Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Dah! This comment is extremely bitter especially for the ladies.Ukishamgonga demu ,,,swala la shepu ,umbo ,Tako ,chuchu saa sita vinakuwa havina ushawishi Tena ....hapa tabia ya huyo mwanamke ndio itakufanya kuendelee kuishi nae au kumpiga chini ......hili wanawake wengi hawalijui ....
Hapa ndio kauli ya "mwanamke ni tabia " inapochukua nafasi