Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

Mimi nikiwa sina hela yaani hata kubebika uwa siwezi

Naweza amka nikamsalimia chibaba na morning kavu kavu, au nikamute kimya mpaka anishtue

Huna hela furaha unatoa wapi [emoji28][emoji28][emoji28]

Imagine unawaza pakupata 1m alafu limtu linakutumia msg ‘ninekumiss’ si unaweza mpiga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wanawake mnapenda Sana hela,,,, mnachozifanyia hamna ! Ni Kama mmezaliwa na baba mmoja na mama mmoja [emoji55][emoji58]

Mi napenda hela na cha kuzifanyia nnazo

Ni vile tu sijazipata[emoji28]
 
Mimi nikiwa sina hela yaani hata kubebika uwa siwezi

Naweza amka nikamsalimia chibaba na morning kavu kavu, au nikamute kimya mpaka anishtue
Aiseee mimi hata mahusiano huwa siyaweziii kabisaa
Nitatafuta sababu tuachanee
 
Aisee nimeupenda Sana huu ushauri wako.Mungu akubariki Sana jamani 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…