Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

Alfajiri moja mlie timing umpe show ya kibabe..utakuja kunishukuru nasisitiza iwe ni alfajiri
 
Mimi hizi story ndizo huwa zinanipa ukakasi! Sasa kama umeona wife material ma michepuko ya nini tena? Yaani vijana mna kazi nyie!
Maroho ya familia yanamsumbua deep. Kiuhalisia anampenda sana mke wake lakini kuna generational curses zinamnyemelea na sidhan kama anajua. And kama mke wa deep anasimama katika nafasi yake vzuri na anasali..ikitokea ndoa imeharibika kosa litakuwa la deep na hizo roho zitakuwa zimeshinda. Kwa sabbu anasema ameoa wife material na ndani kuna amani na anampemda mke wake..nje anaenda kufata nini?

Wengi wanaochepuka, nje wanaenda kufata amani..yeye kaikosa amani siku chache na anajua sabbu ni yeye lakin kakosa raha. Na uzuri mke anafanya majukumu yake..it seems dhamiri inamshtaki pakubwa mno. And all this time deep atagundua amekuwa akiconcentrate na wanawake wa nje kuliko mke wake.

Amekua akijenga familia za nje kuliko ya kwake. Amekuwa akinufaisha wanawake wa nje kuliko mwanamke wa ndani. All this will eventually creep back to him slowly.

DeepPond ukisoma hapa focus on your chosen one. Umeshaipa michepuko airtime imetosha. You have a good wife..mpendezeshe, mpe airtime, mpe priviledges, mtreat vizuri, muweke namba moja. She gave you a home and she gives you peace. Acha kupeleka nguvu zako nje. Mungu anapenda familia iliyo nzuri na ataibariki.

Mkeo hata asiposema jambo lakin akahuzunika moyoni nakwambia kuna mambo yatafungika katika utafutaji, kuna deals zitaepa hutaamini. Sisemi yeye ni Mungu..nasema yeye ni mke. Neno linasema kwamba " Usimhuzunishe mkeo ili kuomba kwako kusije kukazuiliwa" there are things unazitamani lakin hupati...kuna mahali ndani ya ndoa unapatindinganya braza..na we unaona sawa kisa k.ya majay tamu, sijui kiuno cha flan kizuri..kumbe na akili za kutafuta ukishamwaga unaziacha ukouko.

Mungu hawezi kukupa akili zaidi akati alizokupa unatumia vbaya na huku unamhuzunisha mkeo. I wish uanze kuangalia familia yako kwa jicho lingine na upeleke nguvu kubwa huko. Utajiona unapata deals na utazifanya, lakin utashangaa hela ukipata umenywea bar ama imeibiwa, ama umechunwa. Utafanya kazi ya kufukuza upepo hata lini?

Kwa navyokusomaga hapa huwa ninaamin you are meant to be very rich person tena rich kiasi cha kwamba hutapata muda wa kuandika mambo humu. Lakin wewe unataka uishi wenye mediocre life na unataka kuridhika nayo. Utasindikiza watu kwenye utajiri mpaka lini. Kama una gari moja unatakiwa uwe na hata matatu ama manne, na hata kampuni sio maduka tu.

Kwa namna unavyoandikaga humu you are meant to be such a person. Na hili limetokea mwanzon mwa mwaka coz God wants to give you something big so anataka uamend your ways. Utajiri ni choice yako na mediocre life ni choice yako. Kama unataka kuendelea na maisha unayoishi its fine. Ni hayo tu braza.
 
Mimi nikiwa sina hela yaani hata kubebika uwa siwezi

Naweza amka nikamsalimia chibaba na morning kavu kavu, au nikamute kimya mpaka anishtue
Unaposema hauna hela unamaanisha hata akaunti yako ya benki haina hela kabisa? Je, inamaanisha haufanyi saving? Au ukipata unazitumia mpaka zinaisha zote?

Au unamaanisha nini hasa?
 
Kiasili sisi wanaume ni wagumu sana kuomba msamaha kwa wake zetu au wapenzi wetu hata kama tumekosea. Hiyo hali hata mimi huwa inanitokea sana

Sema kule kwa mshua masta na bimdashi ulimpiga pigo la kimafia sana chifu mpaka nimemwonea huruma aisee🤔

Hapo mzee DeepPond ili mizuka irudi ya kuchepuka yajenge na Mama G kwanza. Wewe ni mume wake najua atakusamehe tu
 
Unaposema hauna hela unamaanisha hata akaunti yako ya benki haina hela kabisa? Je, inamaanisha haufanyi saving? Au ukipata unazitumia mpaka zinaisha zote?

Au unamaanisha nini hasa?
Kutokuwa na hela doesn’t mean huna hata mia.
Hope you get my point.
 
Mkuu pole sana ila wanawake wanapenda kubembelezwa, Omba msamaha mambo yasonge
 
Wakuu,

Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo.
(Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia)

Binafsi najua mm ndo nilimkosea, Ila Sasa ule Ubabe ubabe na kutokubali kushindwa Wala kukiri mi Ndo nmemkosea,Basi nikamchokonoa kusudi mpk akapanic na kuongea Sana.

Sasa ktk kuongea kwake ktk hasira akatamka neno flani hivi limekaa vibaya sn. Nikalidaka hilo neno na nikalishikia bango kwelikweli. Mama G akachukia na kwenda kunisemea kwa wazazi wangu nmemkosea.

Kule kwa wazazi nilipoitwa Kwny kesi, nikalishikia bango lile neno alilotamka ktk hasira zake na kibao kikamgeukia yeye. ikaonekana ana makosa na Ikalazimika yeye mwnyw ndo aombe radhi ili yaishe. Kweli wife kafanya hivyo mbele ya wazazi.

Sasa tangu ameomba radhi, Tumerud nyumbani ni kama amenichukia Aina flani Kama Kanuna ila anatekeleza wajibu wake Kama kawaida ila uchangamfu wake sio Kama yule wa zamani.

Kwenye hili Mi mwnyw nafs inanisuta, Maana najua moyon mm ndo nmemkosea, Ila kukiri nmekosea hapo ndio changamoto. Najaribu kuonesha sn upendo ila kauchuna.

Kuna MDA nataman sn kuongea na wife kwny Simu, ila akishapokea TU, ananitaka niende straight kwny point.
Nikishaongea point, Hana Kunisikiliza Tena, anakata Simu haraka. Nikimtext pia anajibu shortly. Story story Kama zamani Hana na hataki kuskia.

Kiukweli Hali hii inaenda wiki ya pili Sasa na inaniumiza sana, nmejaribu kuitafuta furaha kwa Mchepuko ila nmejikuta chemistry inagoma kabisa, nakua mkali mkali afu nafoka Sana.

Nikienda kwa mchepuko naishia kulala Usngz na sitaki kelele za miziki Wala kelele za mtu kuongea na Simu (nafukuza akongelee uko nje), najikuta sitaki kuguswa Wala kuchezewa popote.
Namuona mchepuko Kama lisanamu flani na Hata anaponitaka tufanye mapenz mihemko ya ngono sina kabisa.

Imefika mahali nmeona kwenda kwa Mchepuko nayo Ni kero Sasa, nmeanza kukwepa. Kila siku naahidi nitaenda kwa mchepuko ila mda ukifika siendi, mzuka hamna kabisa.

Hata ile Hali ya kuchat au kuongea na mchepuko kwny Simu Ni kama imekufa kabisa. Mchepuko akipiga Najibu TU
"subir Kwanza, nko bize,ntakuchek baadae"
Akikata TU,ndo imetoka iyo.

Nikitoka kazin Ni straight bar,
Nako baa nikihisi Kuna makelele sn,
Au Kuna Watu wamekuja mezan kwangu wanaongea Sana, nabeba kinywaji changu najifungia nakunywa peke yangu ndani ya Gari.

Nikiona hapo Ni Moja kwa moja nyumbani, Tena chumban kabisa kitandani kulala.

Imefikia mahali Michepuko yote nmeona ishagundua siko sawa, lawama kila Kona, nmejitetea kwa kujificha kwny kichaka Cha changamoto zangu kibishara. Hawajanikosea chochote

Ila ukweli wenyewe Ni kwamba mahusiano yangu na wife hayako sawa kabisa. Na hii imekua hivi sio mara Moja Wala mara mbili, nikitofautiana na wife, hamu na michepuko inakata kabisa.

Nmejaribu kuulizia kwa rafki zangu wa karibu wenye muchepuko Hali hii vipi kwenu. Nao wanasema hivo hivo.

Mahusiano yakiwa mabaya nyumba kubwa (kwa wife) Hata hamu Wala morali ya kuchepuka inakata kabisa.

Imekaaje hii wakuu[emoji848]

View attachment 2492445
Dah....uchawi upo 🤫
 
Neno gani alitamka iklishikia bango? Bado hujamaliza story
 
Ila men's wagumu kukubali makosa mbele ya wake zao 😂😂si umuombe msamaha ata mkiwa wawili😂😂
 
Kwenye hili Mi mwnyw nafs inanisuta, Maana najua moyon mm ndo nmemkosea, Ila kukiri nmekosea hapo ndio changamoto. Najaribu kuonesha sn upendo ila kauchuna.
 
Huyo ameshapata taarifa zako za michepuko yako sema anaogopa kukwa lakini atakwambia tu with time.

Anaogopa iwapo utamuuliza source ya taar nani kumwambia?

Lakini kwa mwenye akili kubwa huwa kuna namna ya kusema bila kumtaja mtu na ushahidi.
 
Back
Top Bottom