Nikishikaga simu ya mtu Cha kwanza kabisa naendaga chrome history

Wadada hawanaga hizo na ni wajanja wachache tu tunatumia incognito... Naitumia zaidi pale nitumiapo simu au pc isiyokua yangu
Pia madem huona,lakini chini ya maji,lakini maboy ndo wao uona sana compared na madem,but that doesn't make em holy ni wachafu tu like us
 
Naona TU mnavyonisimanga yesu akasema asiye na tabia hio awe wa kwanza kumpiga jiwe ndege john.mafarisayo wakaondoka huku wameinama kichwa chini
Hahahaaa chizi sana wewe.. mimi ningekupiga mawe tu sikuwepo na hao mafarisayo ... ningekupiga mawe kwa sababu tabia hiyo sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenifanya niangalie history sasa hivi kujiridhisha na yaliyomo
 
New incognito tab inahusika haisave history, nikihitaji kusearch mambo yangu ya siri ndio naitumia hiyo
 
leo nimeshusha material ya zaidi ya 2Gb bando la chuo, mida mida naanza kuziangalia zote
Duhh nilikuwa na jamaa yangu akiaanza kuayapakua hayo mavitu daah ni noma enzi hizo moderm ndio zimeingia zilikuwa zinauzwa 99K ....

basi akisha yapakua anajigungia ndani na pc yake akianza kuyatazama hatoki nje kutwa nzima hata chakula kikiiva anawaambia kwamba wasimuite eti anafanya assignment " My foot ..kumbe anazitazama halafu akipata mzuka anajipiga selfie ..alikuwa anapenda kutazama hayo mavitu kiasi kwamba mpaka wale ma -porn stars wote alikuwa anawajua majina yao na life styles zao

Akimaliza hapo utamuona huyo anakimbilia bafuni kwenda kuoga ..akitoka huko ananiambia hearly hapa sasa nipo mwepesi kabisa kama nyoya la kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha form two/three ndio nilikua naangalia hayoo mambo!

Sasa hivi niangalie ili iweje,nikiwa na kiraru naita bebee napiga show kwa kwenda mbereee!

Wakati uko form three kulikuwa Na smartphone?

Kweli humu Sie wengine Ni Kina Kapuya kabisa
 
Wakati uko form three kulikuwa Na smartphone?

Kweli humu Sie wengine Ni Kina Kapuya kabisa
Japo mleta mada amezungumzia kwenye simu lakini mi nazungumzia kuhusu kuangalia porn!

Ina maana wewe porn umeanza kuziangalia baada ya kuingia kwa smart phone?
 
Daah haya mambo mkuu kuna siku meangalia chrome history ya anaejiita mpenzi wangu nikakuta mambo ya pornhub nilisikitika sana nikaanza jiuliza huyu anaangalia haya mambo ili iweje au na yeye anajichua sijapata jibu mpaka leo
 
Japo mleta mada amezungumzia kwenye simu lakini mi nazungumzia kuhusu kuangalia porn!

Ina maana wewe porn umeanza kuziangalia baada ya kuingia kwa smart phone?

Mie wakati nipo form three ilikuwa Ni kosa la jinai kumiliki fridge sembuse TV!

Kunywa Maji ilikuwa Ni mwendo wa kuchovya Kikombe Kwenye Mitungi Kama tunatambika vile

Tumetoka mbali Sana kwa Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…