ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #41
HahahahYeah huyo ndege john unadhani akishika simu anafanya nini zaidi ya kutazama porn nakuja jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahYeah huyo ndege john unadhani akishika simu anafanya nini zaidi ya kutazama porn nakuja jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona TU mnavyonisimanga yesu akasema asiye na tabia hio awe wa kwanza kumpiga jiwe ndege john.mafarisayo wakaondoka huku wameinama kichwa chini
Pia madem huona,lakini chini ya maji,lakini maboy ndo wao uona sana compared na madem,but that doesn't make em holy ni wachafu tu like usWadada hawanaga hizo na ni wajanja wachache tu tunatumia incognito... Naitumia zaidi pale nitumiapo simu au pc isiyokua yangu
Hahahaaa chizi sana wewe.. mimi ningekupiga mawe tu sikuwepo na hao mafarisayo ... ningekupiga mawe kwa sababu tabia hiyo sinaNaona TU mnavyonisimanga yesu akasema asiye na tabia hio awe wa kwanza kumpiga jiwe ndege john.mafarisayo wakaondoka huku wameinama kichwa chini
Umenifanya niangalie history sasa hivi kujiridhisha na yaliyomoUkinipa simu yako niishike au niikuta simu ya mtu yoyote huwa naelekea chrome history kuona huyu mtu atakuwa Ana search vitu gani.mara nyingi nachokitafuta Ni kujua Kama huwa anaangalia video zetu zile za ngono.katika utafiti wangu huo wa kimya kimya niliouanza mwaka juzi nimegundua 80% ya smartphone zote nilizochungulia watu wake hutazama site mbili maarufu www.xnxx.com na www.xvideos.com ..nikishamaliza huo umbea wangu huwa namfikiria mtu kivingine kabisa..Kama Ni kijana wa kiume Basi akiwa anatazama x lazima tu kwa namna yoyote atakuwa mwanachama wa CHAPUTA.kwa wanawake ndo sijajua wanatazama ili iweje.kama mpo na humu jf mnaongalia hayo mapilau acheni Mara moja kwa sababu nimeshajua Kipi kinafuata mkishatazama.nimewashtukia wote mawazo ya mwanadamu siku zote huwa mabaya tu.
Mimi mbona sijui kituAsilimia 90 wanazijua niamini ninachokisema.kwa hiyo hamna madhara yoyote
Asante Wewe msafi huna makandokando.wasalimie mbinguniUmenifanya niangalie history sasa hivi kujiridhisha na yaliyomoView attachment 1028483
Duhh nilikuwa na jamaa yangu akiaanza kuayapakua hayo mavitu daah ni noma enzi hizo moderm ndio zimeingia zilikuwa zinauzwa 99K ....leo nimeshusha material ya zaidi ya 2Gb bando la chuo, mida mida naanza kuziangalia zote
Wakina hearlyUmenifanya niangalie history sasa hivi kujiridhisha na yaliyomoView attachment 1028483
Njia ya mbinguni ni nyembamba sana kuliko uzi mwembamba kuliko nyuzi zote.Asante Wewe msafi huna makandokando.wasalimie mbinguni
Umenikumbusha form two/three ndio nilikua naangalia hayoo mambo!
Sasa hivi niangalie ili iweje,nikiwa na kiraru naita bebee napiga show kwa kwenda mbereee!
Japo mleta mada amezungumzia kwenye simu lakini mi nazungumzia kuhusu kuangalia porn!Wakati uko form three kulikuwa Na smartphone?
Kweli humu Sie wengine Ni Kina Kapuya kabisa
Daah haya mambo mkuu kuna siku meangalia chrome history ya anaejiita mpenzi wangu nikakuta mambo ya pornhub nilisikitika sana nikaanza jiuliza huyu anaangalia haya mambo ili iweje au na yeye anajichua sijapata jibu mpaka leoUkinipa simu yako niishike au niikuta simu ya mtu yoyote huwa naelekea chrome history kuona huyu mtu atakuwa Ana search vitu gani.mara nyingi nachokitafuta Ni kujua Kama huwa anaangalia video zetu zile za ngono.katika utafiti wangu huo wa kimya kimya niliouanza mwaka juzi nimegundua 80% ya smartphone zote nilizochungulia watu wake hutazama site mbili maarufu www.xnxx.com na www.xvideos.com ..nikishamaliza huo umbea wangu huwa namfikiria mtu kivingine kabisa..Kama Ni kijana wa kiume Basi akiwa anatazama x lazima tu kwa namna yoyote atakuwa mwanachama wa CHAPUTA.kwa wanawake ndo sijajua wanatazama ili iweje.kama mpo na humu jf mnaongalia hayo mapilau acheni Mara moja kwa sababu nimeshajua Kipi kinafuata mkishatazama.nimewashtukia wote mawazo ya mwanadamu siku zote huwa mabaya tu.
Japo mleta mada amezungumzia kwenye simu lakini mi nazungumzia kuhusu kuangalia porn!
Ina maana wewe porn umeanza kuziangalia baada ya kuingia kwa smart phone?
Inaonekana we ukimaliza kubet unajichua mkuu