Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Huo ni muhimu, na kusherehekea pia ni muhimu zaidi.Cha msingi uhai
Nipeni mbinu za kukabiliana nazoSasa ukisha ishiwa nguvu,utawezaje kukabiliana na hayo majukumu?
Ngoja tuiulize VAR tatizo lako ni nini hasa?Nipeni mbinu za kukabiliana nazo
Huna msaada kabisaNgoja tuiulize VAR tatizo lako ni nini hasa?
VAR
Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
- Equation x
- mapenzi
- Replies: 97
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Hamtaki majukumu au? Mwisho wa ubachela ni miaka mingapi?Mabachela tunakula shayiri kwaheshima......
Sio majukumu boss naogopa jela..Hamtaki majukumu au? Mwisho wa ubachela ni miaka mingapi?
Twende tukapige ulabu kabla hatujasombwa na elninoMkuu tuendelee kujianadaa na kiel nino
Hahahhhhh dah!!! usiku mwema....Twende tukapige ulabu kabla hatujasombwa na elnino
Amekosea sio ulabu ni divaiHahahhhhh dah!!! usiku mwema....
Nipo hapa kwa mangi, nimekuja kukopa balimi na safari.Mwezi Oktoba huu ndio unaishia, tunaingia mwezi Novemba kwenda mwezi Disemba na baadaye mwezi Januari.
Kwa lugha za mtaani, tunaweza kusema ndio mwaka unaisha hivi.
Miezi niliyoitaja hapo juu, ndio miezi yenye matumizi makubwa kwa watu walio wengi; kwa sababu ni miezi yenye sikukuu za mwisho wa mwaka na kukaribisha mwaka, pamoja na visherehe vidogo vidogo vya kifamilia na kidini.
Ikifuatiwa na matumizi ya kuumiza ya kuandaa vijana kurudi mashuleni pamoja na kulipa ada kwa mwezi Januari, hasa kwa wale wenye familia na watoto. Kwenye kipengele hiki, wengi hujuta kuwa na watoto wengi, na kwa nini watoto wao hawakuwasajili kwenye shule za vidumu na mifagio.
Nikitafakari hii miezi naishiwa nguvu kabisa.
Nipo hapa kwa mangi, nimekuja kukopa balimi na safari.
Vipi huko, mvua zinanyesha?Nipo hapa kwa mangi, nimekuja kukopa balimi na safari.
Unachanganya madawa mkuu!
Divai hua haipatikani kilahisiAmekosea sio ulabu ni divai