Nikitaka kununua tv flat screen, ni brand ipi bora kwa sasa?

Nikitaka kununua tv flat screen, ni brand ipi bora kwa sasa?

Tcl si haba, angalia na level ya tech lakn mfano unaweza ukapata haier smart tv hata huyo samsung auingii ndan, TV are made to last long, kwangu nna TCL 32' smart tv room na haier 42' smart tv sitting room, na starx 19' chumbani kwa mtoto wangu
Na mimi ni hivo hivo ila kasoro tu chumbani kwa beki 3 wangu imebidi nimuwekee Samsung 50' baada ya kulalamika ile ya 42' screen yake ni ndogo na haenjoy sana.,hahah
 
Tokea tunaimbiwa wimbo wa tanzania ya viwanda hadi leo hatujawa na kiwanda kutengeneza hizi tv??
 
Tcl si haba, angalia na level ya tech lakn mfano unaweza ukapata haier smart tv hata huyo samsung auingii ndan, TV are made to last long, kwangu nna TCL 32' smart tv room na haier 42' smart tv sitting room, na starx 19' chumbani kwa mtoto wangu
Embo toa na bei elekezi za hizo hapo mkuu
 
Kina kirefu.. £3,000 LG C7 OLED Series (2017)

lgb7oledhandson-1.jpg
hii hatariii bei ya harrier hii
 
inchi 32 mtumba 400,hadi 450.,mpya 850,000..kuna tofauti kubwa ya picha na picha..Samsung inatoa picha nzuri but gharama,,smartTv hizo zenye YouTube.Netflix,wireless,milioni na laki mbili..hizi ukipata na deck za blue ray..utatisha Sana.uzuri WA Sony kupata miwani HD rahisi..

Je ile home base tv nayo mbaya au?ina sura nzurii kwelii
 
Mkuu ninatumia bidhaa za Sony ni mwaka wa 10 sasa,nunua Sony hutajuta japo ni ghali,Nimeshuhudia mara kadhaa zinapotokea shoti inaandika risk na kisha inajizima yenyewe,hakika Sony wapo vizuri
Tv nyingi aina ya plasma ziko hivyo.
 
Back
Top Bottom